February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Tofauti ni kuwa wazungu walifanya hayo miakamia saba iliyopita, wakati morroco wanasema hayo sekunde hii.Wazungu waliwatesa babu zetu na bibi zetu na kuwadhalilisha na wakaiba mali zetu ila bado watu wana washobokea ila MORROCO kisa hajaitaja Africa tu kuna ng'ombe zilikuwa zimeshaanza eti ni wabaguzi lakini utasikia nipo ENGLAND na France waafrika kweli tumelaaniwa sio bure
Haya tujadili kwa sababu zetu za kiafrika, kati ya France na England nani wabaguzi zaidi?Bora hata Ufaransa apite
Bado hujafuta tu uzi wakoUlaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.
Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Mhh utumwa hata miaka 150 haifikiTofauti ni kuwa wazungu walifanya hayo miakamia saba iliyopita, wakati morroco wanasema hayo sekunde hii.
Vipi unajionaje sasa. Sura imeshakukauka kama ngozi wa temboUlaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.
Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Hebu rudia tenaUlaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.
Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili.
Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Afrika vikongwe wanabakwa, albino wanauawa, watoto wanazalishwa, halafu unasema Kuna ustarabu?Kweli kabisa,
Argentina ipo ulaya, Morocco ipo ulayaππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£, yaani afrika ni wastaarabu kuliko hata hao mabwana zenu
[emoji23]Kweli kabisa,
Argentina ipo ulaya, Morocco ipo ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], yaani afrika ni wastaarabu kuliko hata hao mabwana zenu
Ulaya wanarasmisha kabisa hayo, na zaidi ya hayo , mfano kuruhus ndoa za jinsia mojaAfrika vikongwe wanabakwa, albino wanauawa, watoto wanazalishwa, halafu unasema Kuna ustarabu?
Ha haa πNyie mpira unauma, unalipenda li team linakuangusha huna uwezo wa kuingia uwanjani basi ni kero tupu.
Mpaka nikakumbuka tulivyokuwa primary wanasema ukitaka kuroga team pinzani isifunge basi unakunja ka kidole ka mwisho kwenye mikono afu unashika kwenye nyonyo kila mpira unapokuwa kwa team pinzani, mpira ukirudi kwenye team yako unaachia ka kidole.
Tangu mpira unaanza ndo nimekunja ka kidole nimeshika kwenye nyonyo dah nina maumivu.
Wastaarabu ndio hawa wanaotuhamasisha tufumuane marinda [emoji38][emoji38][emoji38]Na nyie kwenu africa mlikua mnaoga mara ngapi kwa mwaka?