BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
- Thread starter
- #21
Sandaland!? Hahaha!Hizi ndio akili zinazohitaji kutawaliwa tena na wazungu,
Kwa hio wew kwako inabidi uvalishwe na Nike, Puma na Adidas kujiona umevaa? Hao Nike walianza tu na kujulikana dunia nzima ?
Badala ya kulalamika kwann kampuni za Africa haziwavalishi waAfrica wew unalilia kuvalishwa na Nike 😂 unatia huruma sanaaa