Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.
ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.
Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
Tunisia hawavai jezi za Puma. wanavaa jezi za chata Kappa