Timu zote AFCON jezi ni Puma kasoro Algeria!

Sandaland!? Hahaha!
 
Sandaland!? Hahaha!
Soma kitabu cha Phil Knight mwanzilishi wa Nike uone Nike ilivyoanza, hakuna mbuyu ulianzia juu, just wait, Sandaland akikaza hapa bongo atazidi kujitanua tu soon utasikia yupo na TP mazembe, mara kaenda Gor mahia, wasipokaa sana wanamkuta Al Marreikh, so ni muda na dhamira
 
Jersey nzuri ya Algeria? Wew huangalii AFCON,
Umeona uzi wa cape Verde,
Kwa hio sandaland pale kwa stars humuoni?

Wew kwa kifupi hujielew
Huyo Sandaland wenu anamiliki kiwanda, au ndiyo yale mambo ya kwenda China na kusagula midosho, na kuwaletea mvae?
 
Aliyewaroga wabongo ameshakufa,
Leo kuna mamtu yatashangilia Inonga Bacca akifanya goal clearance ktk goal line ya Congo DR, pia yapo majinga na mazezeta yatapiga mayowe Mayele akiscore....

Hapo roho inakukereketa sababu huyu Sandaland anaivalisha SIMBA SC....[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.

ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.

Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
Tanzania hujaona MO- ENERGY kwapani pale?

Au una shida ya macho
 
South Africa leo mboni wanacheza mpira wa kifala hivi yaan mpira umepoa balaa Bora hata Tunisia wanasaka Goli
 
Yaan wakifunga Stars ni Sawa wameshinda Simba? Nahamia Congo DR kwa muda
 
Kwani hiyo sandaland inatengenezwa Tanzania kiongozi wangu? Huyo ni wakala tuu wa mchina.
 
Nigeria wanavaa Nike, na wana jezi maalum toka Nike Dri-Fit inayopunguza jezi kulowa sana na Jasho kama unavyoona kwa baadhi ya timu jezi inalowa sana jasho

Kuhusu upande wa design Jezi ya Tanzania ni miongoni mwa jezi kali sana kwenye hii Afcon
 
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.

ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.

Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
Hujaona KAPPA kwa tunisia?
 
Mifumo ya nchi haisapoti hilo. Marekani mfumo wa nchi ulimpa Nike fursa hiyo.
 
Jersey nzuri ya Algeria? Wew huangalii AFCON,
Umeona uzi wa cape Verde,
Kwa hio sandaland pale kwa stars humuoni?

Wew kwa kifupi hujielew
Hajielewi kweli we useme timu zote kasoro Algeria then useme Taifa staz huoni chochote kwwnye uzi wao au T.staz hawako Afcon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…