F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jan 25, 2024 #41 BigBro said: Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu. ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya. Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi. Click to expand... Tunisia hawavai jezi za Puma. wanavaa jezi za chata Kappa
BigBro said: Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu. ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya. Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi. Click to expand... Tunisia hawavai jezi za Puma. wanavaa jezi za chata Kappa
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Jan 25, 2024 #42 Uzi wa Tz ndo kiboko yao, kitu cha Fredy Vunjabei...nini Puma wala Adidas🤣
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Jan 25, 2024 #43 Uzi wa Tz ndo kiboko yao, kitu cha Fredy Vunjabei...nini Puma wala Adidas🤣
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Jan 25, 2024 #44 BigBro said: Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu. ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya. Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi. Click to expand... Sandaland the only one!
BigBro said: Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu. ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya. Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi. Click to expand... Sandaland the only one!
Buenos Aires JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 1,894 Reaction score 1,622 Feb 4, 2024 #45 BigBro said: Sandaland nani anaijua nje ya Kariakoo, nazungumzia chata zenye akili. Mimi Uzi wa Cape Verde nimeuelewa, lakini wa Algeria ndo naona uko poa sana hauna mambo mengi. Zote walizotumia hasa jezi ya leo dhidi ya Mauritania Click to expand... Mashabiki wa kibongo wengi wao wanapenda majezi yenye madoidodoido Beberu said: Jersey nzuri ya Algeria? Wew huangalii AFCON, Umeona uzi wa cape Verde, Kwa hio sandaland pale kwa stars humuoni? Wew kwa kifupi hujielew Click to expand... Uzuri wa jezi ubebe na kombe, mfano Argentina ana jezi nzuri wakatwaa na ubingwa. Haya cape verde wametolewa na mijezi yao
BigBro said: Sandaland nani anaijua nje ya Kariakoo, nazungumzia chata zenye akili. Mimi Uzi wa Cape Verde nimeuelewa, lakini wa Algeria ndo naona uko poa sana hauna mambo mengi. Zote walizotumia hasa jezi ya leo dhidi ya Mauritania Click to expand... Mashabiki wa kibongo wengi wao wanapenda majezi yenye madoidodoido Beberu said: Jersey nzuri ya Algeria? Wew huangalii AFCON, Umeona uzi wa cape Verde, Kwa hio sandaland pale kwa stars humuoni? Wew kwa kifupi hujielew Click to expand... Uzuri wa jezi ubebe na kombe, mfano Argentina ana jezi nzuri wakatwaa na ubingwa. Haya cape verde wametolewa na mijezi yao