Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Yaani hata kama ni Siasa hii sasa komesha. Tinubu (70) ni mdogo kuliko Rais Mstaafu Jakaya Kikwete(72)?

NB: Chinekeeeee

images (57).jpeg
 
Attachments

  • a9a5c65a697149929599f176da22bc99_6E46F74E46672EE92522D789E2AA5297_video_dashinit.mp4
    1 MB
Kunahaja ya kuwafahamu Kila mmoja kapitia njia ipi ,kikwete alishakili wazi kuandaliwa Kwa naijeria hali nitofauti ,mfatilie hata anayesubiria kukabidhi madaraka kapitia mengi mno......kabla sijamcheka anayesubiria kuapishwa na subiria nijifunze kitu
 
Okay
 
Ufikikie hatua tusilinganishane kitoto hivyo nisawa na Leo umchukue January uaze kusema oneni Lisu amekua president na January kachemka ,mkijua wazi Kuna watoto wanaandaliwa Toka kuzaliwa na wazurulaji ikulu mwanzo mwisho ,ila raia wameamua kumpa Lisu na lisu anahistoria zake ,kupigwa risasi kulazwa gerezani , misukosuko chunguzima inazeesha ,msukosuko Mzee wetu kikwete aliopata maishani mwake mote ni mmoja TU alivotembea Kwa mguu kilomita karibu 10 au zaidi akikimbia chuo mafuzo kijeshi monduli baada ya kurikisha aliyorikisha Kwa nyerere kuwa wazi ....unaishangaa naijeria bongo mmeonywa kitambo vjana ni TAIFA la kesho
 
Back
Top Bottom