Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

Kwani nyinyi mnamjua kuliko waliomchagua ? Au mnafikiri Nigeria ni kama Burundi kule tatizo la afya ya akili ni 1/100 ukikinganisha na hapa kwetu 50/100
 
Nigeria ina mengi ya kushangaza kama ambavyo haka kajamaa kanatuzidi umri wengi wetu
9eb7ccca4ff324f57867f04214aac631.png
 
Wanigeria wengi wanapunguza miaka kuchamkia fursa, soka, ukimbizi, vigezo kupata schorlaship Ulaya na Marekani
1691903092201.png
 
Babu mhuni kitambo enzi zake akiwa State.
Mnaija mmoja alinambia sisi wanaija hata ukikutana na ulamaa na ana nina sijda kama kitumbua kamwe usiweke imani 100/100, kuwa na mashaka.
Sigda kama kitumbua...ila nyie hahahhah
 
Back
Top Bottom