Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

Kwani nyinyi mnamjua kuliko waliomchagua ? Au mnafikiri Nigeria ni kama Burundi kule tatizo la afya ya akili ni 1/100 ukikinganisha na hapa kwetu 50/100
 
Wanigeria wengi wanapunguza miaka kuchamkia fursa, soka, ukimbizi, vigezo kupata schorlaship Ulaya na Marekani
 
Babu mhuni kitambo enzi zake akiwa State.
Mnaija mmoja alinambia sisi wanaija hata ukikutana na ulamaa na ana nina sijda kama kitumbua kamwe usiweke imani 100/100, kuwa na mashaka.
Sigda kama kitumbua...ila nyie hahahhah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…