Tetesi: Tip From Deep Inside: Uchunguzi wa Kesi 9 za Ufisadi Mkubwa Umekamilika.Soon Vigogo Kizimbani

Huyu ni Salva aliyekuwa ikulu?
 
No wonder Salva hakumaliza hata week mbili ndani ya awamu ya Vi-Wonder!!
 
Politicians are the highest Mafians (hierarchy), they will fake you with words but act differently in implementation. Magufuli is never the different type. Let him do his portion then watch the consequencies. Reminder: usawa uko mbinguni tusiutegemee hapa duniani
 
Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Siku tukijuwa kujiheshimu wenyewe ndiyo tutajuwa kuheshimu binaadam wengine.

Binadam hata awe na makosa hatakiwi kudhadhalishwa mbele ya vyombo vya sheria. Hukumu ndiyo itaamua adhabu ama la. Na kama ni adhabu basi nayo hutolewa kwa mujibu wa sheria.

Tatizo kubwa la kutoheshimu haki za binadam huanzia kwenye malezi majumbani mwetu. Tunalea watoto kama watumwa, fimbo kwa kwenda mbele.

Mtoto aliyelelewa hivyo (abused) utegemee nini kutoka kwake?
 
Mzee wa njaa kama kawaida yako, sasa unaposema serikali imeshindwa maana yake nini wewe mnafiki??
 
WAKUU huyu jamaa si ndio alikuwa Mkurugenzi wa habari na mawasiliano Ikulu Wakati wa Kikwete?Inamaana baada ya kutumbulia jipu ndio kaamu kumwanika JPM Kiasi Hiki?

Hapana mkuu. Alimuandika JPM wakati akiwa rai. Ilikua ni vita na walihisi JPM atachukua fomu 2005

Aliwachafua wengi tu pamoja na Sumaye. SAS ndo walimuua kabisa

Baada ya hapo ndo akapewa ukurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Na pia yule ndugu yake pia Muhingo aliyekua rai pia alipewa uDC

Hii ni habari ya muda sana. Kwa sasa Salva amestaafu anakula pensheni tu si Muandishi
 
Kwani Salva yuko wapi na anafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…