Tetesi: Tip From Deep Inside: Uchunguzi wa Kesi 9 za Ufisadi Mkubwa Umekamilika.Soon Vigogo Kizimbani

Kesi yako ni majungu tu kwa rais. Tunajuwa ukweli.
 
Unachochea viongozi wasisikilizwe wewe!!!
Najua uko out of context.
 
OH,ASANTE SANA KWA KUNIWEKA SAWA KWA HILO
 
mwaka gani nimesahau ulileta uzi wako humu wa kumpamba ruge na hela zake alizotoa zawadi leo tena vipi?
 
Hili uliloandik hata Mawaziri wa awamu hii lazima walijue hilo wakae wakijua President ana Kinga Ila wao hawana Na yeye anatawala miaka kumi tu
 
My Take.
Msihamanike sana kudhania sasa ndio ile mikesi yote ya ufisadi mkubwa itaibuliwa. No. Kuna kesi za ufisadi za touchables na za untouchables. Zitakazo fikishwa mahakamani ni only za touchables, zile za untouchables zenyewe haziguswi!.

Hapo sawa. Umeeleweka michezo za mchangani tu kwenye kapeti saizi ya Old Traford hatuziwezi.Kufukua makaburi kunahitaji matambiko ya hali ya juu.
 
Pasco bana,
Unapenda sana Ujiko ndugu yangu,
Hakuna cha tip from inside wala nini, jana PCCB wametuwekea wazi kesi wanazozichunguza, wala hakuna usiri kwenye hili. Sio issue ya kusema kua kuna fununu wala nini, ni kitu kiko wazi kinajulikana. Inawezekana hujaingia JF siku mbili tatu hizi so hujui kama hili linafahamika hapa ndio maana ukalianzishia uzi.

Kwa kua unapenda kuweka Reference basi nami nakuwekea hii,
TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.
 
Hii story haijabalance. Nimesoma kwa umakini lakini sikuona mahala panaposema "alipoulizwa au alipotafutwa Mh. Magufuli". Simaanishi kutetea.
 
Pasco bana,
Unapenda sana Ujiko ndugu yangu,
Hakuna cha tip from inside wala nini, jana PCCB wametuwekea wazi kesi wanazozichunguza, wala hakuna usiri kwenye hili. Sio issue ya kusema kua kuna fununu wala nini, ni kitu kiko wazi kinajulikana. Inawezekana hujaingia JF siku mbili tatu hizi so hujui kama hili linafahamika hapa ndio maana ukalianzishia uzi.

Kwa kua unapenda kuweka Reference basi nami nakuwekea hii,
TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.
 
Kaka Paskali umenena vizuri kuhusu touchables na untouchobles. Hii nchi uhalifu wote unafanywa na wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…