Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Soko limekuwa gumu sana mitaa ina warembo wanaotaka ndoa ila hawajaolewaKwamba soko ndo limekua gumu kiasi hicho huko mjini 😃🤔🤔
Mimi nina wadada tulisoma nao chuo, A-level na O-level mpaka leo hawajaolewa huwa nawaonea huruma sana na wanazitaka ndoa