Tips and tricks zitakazomsadia mwanamke atongozwe Kwa urahisi

Tips and tricks zitakazomsadia mwanamke atongozwe Kwa urahisi

Mm mwenzKo mkubwa najionea huku wanavopata stress na kushinda makanisan..
Unakuta mdada mzuri,ana masters kazi UN,anaish oysterbay apartment kali ana push dreamcar zetu kitu inacost $30,000and above lakin no mume
Huyo ajataka mume. Mwanamke kuwa na kazi ni added advantage ya kuolewa
 
Laana tena? Mtu kama hakutaki kakujibu vibaya si unamuacha sasa mambo ya kuongea tuone kama utaolewa yanatoka wapi? Alafu unakuta mwanaume mwenyewe anaeongea hayo ni muhuni mmoja tu hana sifa hata moja ya kuitwa mume. Nadhani tupunguze kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu maisha ni mazuri sana tukitambua sio lazima kukubalika na kila mtu.
Husband material kutwa kulike picha za makalio vya wenzako usijitie matamanio huo ni ushamba in Kondeboy voice.
 
Huyo ajataka mume. Mwanamke kuwa na kazi ni added advantage ya kuolewa
Sema we ni kapuku tu unaependa mtelezo kwa wenye pesa. Ingekuwa inajimudu kidogo au upo kwenye corporate world ungeamin nachosema
 
Sema we ni kapuku tu unaependa mtelezo kwa wenye pesa. Ingekuwa inajimudu kidogo au upo kwenye corporate world ungeamin nachosema
Kweli mi kapuku lakini uhalisia utabaki kuwa hivyo wanaume wengi wanaogopa kuoa mwanamke goli kipa sababu ya ugumu wa maisha so inapotokea mwanamke anajiweza bila kujali mzuri wa sura au tabia basi atakuwa na soko la ndoa

Hakuna cha corporate world hakuna mwanamke anayejiweza akalilia ndoa ukiona hana ndoa ni maamuzi yake binafsi na anaenjoy kuwa hivyo
 
Wanawake hawataelewa hili bandiko mpaka watakapofika miaka 25+.

Mimi mwanamke nikimtongoza akinijibu vibaya na cheka hapo hapo mpaka anajiona yupo uchi, hii imenisaidia kuwala kirahisi sana.

demu anayenikataa kistaarabu na weka kambi week tatu haeleweki nafuta no chapu naendelea na mambo mengine , siku akijilengesha naendelea nilipo ishia ila lazima ajitambulishe upya
 
Laana tena? Mtu kama hakutaki kakujibu vibaya si unamuacha sasa mambo ya kuongea tuone kama utaolewa yanatoka wapi? Alafu unakuta mwanaume mwenyewe anaeongea hayo ni muhuni mmoja tu hana sifa hata moja ya kuitwa mume. Nadhani tupunguze kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu maisha ni mazuri sana tukitambua sio lazima kukubalika na kila mtu.
Hata akisema maneno mabaya kama hamna sababu itakayofanya hayo maneno yakupate wala hayatakupata ila kama sababu ipo ndo shida,
 
Back
Top Bottom