Tips and tricks zitakazomsadia mwanamke atongozwe Kwa urahisi

Soko limekuwa gumu sana mitaa ina warembo wanaotaka ndoa ila hawajaolewa

Mimi nina wadada tulisoma nao chuo, A-level na O-level mpaka leo hawajaolewa huwa nawaonea huruma sana na wanazitaka ndoa
Kwanza umri sahihi wa kuolewa ni upi?πŸ€”πŸ€”
 
Basi ngoja nijiweke tayari na mimi kwa lolote nihakikishe hadi uchaguzi mkuu navuka na mtuπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚
Kimbizana na muda tatizo ni kwamba kuna vitoto vinaibuka maingizo mapya vibichi na vizuri

Hakuna kitu kibaya kama kutafuta mwenzi kwa sababu umri unakaribia kukutupa mkono unaweza kuingia chaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…