Tips rahisi na zisizo na gharama unaweza kufanya kusuluhisha changamoto mbali mbali

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
🔨Kama una pasi ya umeme iliokona na uchafu na unataka kuisafisha haraka. Iwashe ipate moto then chukua wax yamshumaa usugue katika pasi. Jinsi wax inavyoyeyuka inaondoka na uchafu. Ukishamaliza zima pasi ipate ubaridi then tafuta kitambaa au tissue ufutie mabaki.

🔨Kama ukitaka kukumbuka kwa urahisi yale uliyoyasoma wakati wa mtihani hakikisha unatafuta bigiji ya ladha fulani, hakikisha unaitafuna wakati wa kusoma pia hakikisha wakati wa kwenda chumba cha mtihani unatafuna bigiji ya ladha ile ile huku ukijaribu kukumbuka uliyoyasoma.

🔨Ukitaka watu wakubuliane na wewe kirahisi, ukiwa unaongea jaribu kufuatisha matamshi yako na movement za mikono yako miwili, huku na kichwa chako ukiki motion kutoka pande moja hadi nyingine au juu na chini kuendana mtiririko wa maongezi yako.

🔨Ukitaka kufanya jambo linalochukua muda mrefu kwa ufanisi mzuri lifanye kwa dakika 25 alafu chukua dakika 5 za kupumzika. Na hizo dakika tano hakikisha usikae hapo hapo, inuka jinyooshe, toka nje, etc

🔨Kama batteries za remote yako zimeisha nguvu na hauna mpya karibu, unaweza zichukua na kuzisugua sakafuni au kwenye nguo yako ngumu kama vile jeans. Hii itasaidia kuongezea nguvu katika batteries.

TUPEANE TIPS NYINGINE
 
Ukihisi Njaa kula haraka!
 
Back
Top Bottom