Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

Bakwata ni wababaishaji ndo maana yanawakuta yote hayo, wacha watoane macho kwanza. Allah ameamua kuwadhalilisha
 
Kumbe kwny kuhiji kuna mengi eeh..!
 
Bakwata hela ya kulipa mishahara waitoe wapi?

Kuna jamaa mmoja alitaka kujitolea kuwajengea msikiti, shule na hospitali ila akatoa sharti kuwa matumizi ya pesa wakat wa ujenz atasmamia mwenyewe. Bakwata walikataa walitaka hela ipitie kwao, jamaa akaghairi kwa kuwa anawajua ni wabadhirifu

Hakuna shaka kuwa miundombinu ming ya bakwata ni duni ingawa misaada ming wanapewa lakn inaishia mifukon wa wachumia tumbo.
 
Kuwa genuine "wenzetu wap" tafadhari kuna jambo nifamishwe
 
Weyeee....slow down kidogo tubonge !!!
 
Uzuri na ubaya wa Uislam ndio huo? Hakuna ukiritimba na hakuna aliyembira zaidi ya mwenzie. Wangemchapa bakora kabla ya kuendelea na mengine.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa jamaa huwa nawakubali kwa hilo. Hawataki longolongo.
 
Jiulizeni mkimtoa mufti mtamuweka nani kwenye hicho kiti ? Mnae mbadala kweli au mnadhani sheikh fulani mpenda majungu ataweza ??
 
Kuna kitu hamjagundua.BAKWATA inasambaratishwa kimakusudi . Wafanyaka...hawalipwi....shule zinakufa.......hili hamjaliona ??
 
Usipotukanwa utakuwa na bahati sana.
 


Bas endeleeni na Ilmu Akhera kwasababu hata Muddy pia hakujua kusoma wala kuandika ila akakuombeni ninyi Waumi'nin mumuabudu Mnyaaaz mungu na yeye mtume wake.


Wabillah Tawfiq,
 
duh mzee si alikuwa na kisukari na mguu alikatwaa nafikiri! kumbe mashine inasimama......
ila kama kwenye hijja viongozi wanafanya hivyo ,vp kwa waumini inakuwaje maana hii kashfa ni kubwa sana kwa marehemu
 
Pamoja na kuwa source ni Tina.., ila hili Baraza la Kuwahadaa Waislamu inabidi livunjwe na kiundwe Chombo thabiti kitakachosimamia Masilahi na Mali za Waislamu..,
Unaijua BALUKTA?
 
Ewe mfuasi wa Muddy punguza munkar bas...[emoji23]

Bas endeleeni na Ilmu Akhera kwasababu hata Muddy pia hakujua kusoma wala kuandika ila akakuombeni ninyi Waumi'nin mumuabudu Mnyaaaz mungu na yeye mtume wake.


Wabillah Tawfiq,

ndio dalili ya mtu aliyeshindwa hoja basi ukimbilia kuhamisha hoja, elimu ni elimu tu mradi unaitumia vile ambavyo inapaswa kutumika, kuwa na phd sio suluhisho la kuwa kiongozi bora.
 
duh mzee si alikuwa na kisukari na mguu alikatwaa nafikiri! kumbe mashine inasimama......
ila kama kwenye hijja viongozi wanafanya hivyo ,vp kwa waumini inakuwaje maana hii kashfa ni kubwa sana kwa marehemu

huyu jamaa aisee sijui alimuona huyo marehem au anakula maiti
 
Kwa Kuwa BAKWATA ni taasisi ya waislamu hivyo hakuna budi litakalosemwa kuhusu taasis hiyo litawahusu waislamu, na kwa kuwa waislamu wana mafundisho yao hawana budi kuyafuata. Miongoni mwa mafundisho yao katika tasnia ya habari hii aya ya Kurani ni muhimu sana,
"يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن جَاءَكُمْ فَاسِقٌ بِنَبَإٍ فَتَبَيَّنُوا أَن تُصِيبُوا قَوْمًا بِجَهَالَةٍ فَتُصْبِحُوا عَلَىٰ مَا فَعَلْتُمْ نَادِمِينَ "

" Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda." Kurani 49/6.
Hivyo basi tuna haja ya kujuzwa kutoka katika chanzo chenye kuaminika ili habari iwe ya kweli, kama si hivyo tutakuwa tunajenga fikra za dhana potofu juu ya wasiyokuwa na hatia.
 
Umeanza vizuri,lakini mwisho umeharibu,kwa kumsingizia,asiyokuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…