Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kwny kuhiji kuna mengi eeh..!Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Kuwa genuine "wenzetu wap" tafadhari kuna jambo nifamishweUchaguzi ungekua unasimamia misingi ya dini Zuberi asingepenya, sisi pia madokta na ma prof. wapo wenye elimu zote lakini sababu ni tawi la chama viongozi watakua wakina Alhad, mwenzako anaokota uchafu na kuweka kwenye pipa wewe unaselfika,
Kwa wenzetu utasikia dokta nani , dokta nani ndio viongozi
Weyeee....slow down kidogo tubonge !!!MUOGOPE MUNGU SANA,
UNAMSINGIZIA MAITI HUOGOPI WEWE,
KOSA KUMSINGIZIA ALOKUWA HAI, JEE HUYU ALOKUWA MAITI JEE?
VIPI UTAMUOMBA MSAMAHAN WAKATI HAYUPO TENA, USIWE UNAFANYA MAMBO KWA KUFURAHISHA NAFSI AU KWA AJILI YA CHUKI NI HATARI ZAIDI.
NA HATARI ZAIDI YA KUWA ULIPOMSINGIZIA NI PAHALI PATAKATIFU AMBAPO WAISLAM WOTE WANAKUTANA KUTIMIZA NGUZO YA TANO PAMOJA NA KUMUOMBA ALLAAH AWASAMEHE MADHAMBI YAO.
LEO UNAKUJA KUSEMA YA KUWA MUFTI KAZINI! HATA ANGEKUWA SI MUFTI, MTU YOYOTE YULE HAUWEZI KUMSEMEA KOSA HILO.
JEE WAJUA YA KUWA KATIKA UISLAM KUMSINGIZIA MTU ZINAA, ADHABU YAKE NI KUPIGWA FIMBO THAMANINI?
LAITI HUKUMU YA ALLAAH INGEKUWA INATUMIKA BASI WEWE SASA HIVI NI KUHUKUMIWA FIMBO HIZO, NA BORA ZAIDI KUPATA HIYO HUKUMU KULIKO ADHABU AMBAYO ALLAAH ATAKUTIA KATIKA MAISHA YAKO YOTE YA HAPA DUNIANI NA KABURINI NA MPAKA KUKUFULIWA.
KWA HILI HUNA MSAMAHA MPAKA UMUOMBE MWENYEWE SAMAHANI, SASA SIJUI UMEJITAYARISHA VIPI KUSIMAMA MBELE YA ALLAAH NA KUMPA HOJA YA KUWA KWA NINI ULISEMA HIVI, NA PIA SIJUI ULOMSINGIZIA HATA HIYO SIKU YA SIKU ATAKUWA MWENYE KUKUSAMEHE.
NOTE:
MUFTI SIMBA SIMJUI NAMSIKIA TUU, ILA NIMESEMA HAYA KWA YOYOTE YULE ANAEMSINGIZIA MTU UONGO, UWE WOWOTE ULE, AJITAYARISHE MAKAAZI YAKE MOTONI
Uzuri na ubaya wa Uislam ndio huo? Hakuna ukiritimba na hakuna aliyembira zaidi ya mwenzie. Wangemchapa bakora kabla ya kuendelea na mengine.
Usipotukanwa utakuwa na bahati sana.N
Ndicho waislam mnachokosea, dunia ya sasa si yakujifungia na Quran tu, yapasa msome na vitu vingine, ili muweze kuendana na hali ilivyo na changamoto zilizopo,
Ndo mana aya ya kwanza ktk inasema "Iqra bismirabbi kaladh kharaka"= soma kwa jina la mola wako.
Kwahiyo ata usome theology, philosophy, computer science, medicine.
Soma vyote kwa ajili ya kukufanya umfaham na umuabudu mola vizuri,na kma sheikh ujue changamoto na dunia ilivyo ili hata unapoongoza unakua up to date. Sasa tatizo
Quran hamuijui na secura hamuijui. Ni mvurugano tu.
All in all wape hai bakwata
yaani una conclude vipi unaposema quran hamjui na elimu dunia hamjui, una takwimu zozote zinazonyesha waislam hawajui chochote au unaropoka tu? mbona waislam ndio wana ongoza kwa busara karibu sekta nying kuliko nyie wagalatia mnaosema hamjaleta nyie tetemeko, wala hamjaleta nyie njaa? nasisitiza tena elimu bila busara si elimu wasomi wote lazima wawe na weredi na busara pia
duh mzee si alikuwa na kisukari na mguu alikatwaa nafikiri! kumbe mashine inasimama......Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
TAKBIIIIR....!Subhana Allah,kweli shekh alifumaniwa?
Unaijua BALUKTA?Pamoja na kuwa source ni Tina.., ila hili Baraza la Kuwahadaa Waislamu inabidi livunjwe na kiundwe Chombo thabiti kitakachosimamia Masilahi na Mali za Waislamu..,
Kusoma na kuandika pia yatosha kama Bashite tu.Kusoma na kuandika na kufuga majini
Alahu wakbar....!!!Kwani Mufti ana level ipi ya Ilmu?
Je hao viongozi wa Bakwata?
Takbiir.......!
Ewe mfuasi wa Muddy punguza munkar bas...[emoji23]
Bas endeleeni na Ilmu Akhera kwasababu hata Muddy pia hakujua kusoma wala kuandika ila akakuombeni ninyi Waumi'nin mumuabudu Mnyaaaz mungu na yeye mtume wake.
Wabillah Tawfiq,
duh mzee si alikuwa na kisukari na mguu alikatwaa nafikiri! kumbe mashine inasimama......
ila kama kwenye hijja viongozi wanafanya hivyo ,vp kwa waumini inakuwaje maana hii kashfa ni kubwa sana kwa marehemu
Umeanza vizuri,lakini mwisho umeharibu,kwa kumsingizia,asiyokuwa nayo.Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca