Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

Mimi sio Muislamu ila yule Hemed Bin Jumaa Bin Hemed alikuwa ananivutia sana jinsi anavyoongea Kiswahili chake. Alikuwa akiongea anamalizia na kibwagio chake, "Dhahir eeh"
kwa mfano yule shekhe mkuu wa DSM kwa MTU yoyote Mwenye akili timamu lazima utampenda tu. Japo mm co muislam lakin ningependa niende msikiti anaoswalisha huyu shekhe. Cjawah kuelewa kwa nn Yuko tofauti na wengine.
 
MTU mwenye kisukari anaweza kutia bna wewe!!?..mtu aache kutiana huku akatie Makkah!!?..kilichosikika ni mke wake kugombea tenda ya kubeba mizigo ya mahujaj
Kwanini Mwenye Kisukari asitie??
Kwani anakua hana kitilio??
 
kwa mfano yule shekhe mkuu wa DSM kwa MTU yoyote Mwenye akili timamu lazima utampenda tu. Japo mm co muislam lakin ningependa niende msikiti anaoswalisha huyu shekhe. Cjawah kuelewa kwa nn Yuko tofauti na wengine.
Mi labda Msikiti wa Sheikh Kipozeo ndio ningependa kwenda kuswali na kupata Mawaidha Murua
 
Duh kaka! Una uhakika na hili kweli? Kufumaniwa mecca kwenye maelfu ya watu kweli inawezekana? Halafu kuzini mecca!!!? huyo jamaa aliweka historia kama ni kweli.
 
Kwanini Mwenye Kisukari asitie??
Kwani anakua hana kitilio??
haisimami babu..anaweza kuanza harakati za kusimamisha alfajir ikashindikana..akifika ofisini ndiyo inasimama..pengne kwa mwezi Mara mbili tena hapo kajitahidi kweli
 
Duh, isije ikawa kumpakazia mzee wa watu!
 
haisimami babu..anaweza kuanza harakati za kusimamisha alfajir ikashindikana..akifika ofisini ndiyo inasimama..pengne kwa mwezi Mara mbili tena hapo kajitahidi kweli
Ha ha haaaaa,
Sukari inakua inamaliza Nguvu za Kiume eee??
 
Eee Mola tunusuru sie waja wako kama yaloandikwa hapa kuhusu viongozi wa Umma wako ni swahihi!
 
Vitisho tuuu, sasa kama aliyeandika ana ushahidi wa huyo mufti kuzini na kufumaniwa na wake zake je?

Acha mkwara ww, humjui mufti tuliza mshono.
 
Mkuu, me sikuwahi kuisikia hii hadi ninapopata habari toka kwako.
Ilikuwakuwaje hadi kufumaniwa ughaibuni ilhali wakeze aliwaacha nyumbani?
Kama hautajali ninaomba unijaziejazie nyama kidogo ili zijae. Ninapenda sana historia na stori kama hizi.
 
Mtu anayewaza Eti Mufti anaweza kuondolewa huyo atakua anaota na haijui bakwata.
 
Wewe unayekariri kuwa marehemu kasingiziwa, je ikidhihirika kuwa kweli alitenda, utakuja na maelezo gani kutetea?
Kwa watu wenye elimu hujizuia sana ku-conclude mambo hadi pale wanapopata vielelezo visivyotia shaka.
Mtoa comment kaja na hiyo habari, halafu wewe unaprovoke na kusema ni muongo!
Mbona haujatoa vielelezo vya uongo wake ili tubalance na huo ukweli wako wa utetezi?
 
Mimi sio Muislamu ila yule Hemed Bin Jumaa Bin Hemed alikuwa ananivutia sana jinsi anavyoongea Kiswahili chake. Alikuwa akiongea anamalizia na kibwagio chake, "Dhahir eeh"


Mkuu:
Wewe unajua maana ya dhahir?
 
Bakwata hii inaaendeshwa kisiasa, Waite takukuru kama kuna ubadhilifu sio kumuondoa mufti kwa majungu
 
Ama anatafutwa sheikh kutoka kanda maalum ndio awe mufti. Kanda maalum kuna wasomi wa elm kweli ? Mkimtoa mufti kutoka Tanga nitajua nyie mmeaga kwenu.....
 
Laanatullaah..Mungu na akuonyeshe ubaya ulioufanya kabla hapajakucha
 
Kwani Mufti ana level ipi ya Ilmu?

Je hao viongozi wa Bakwata?

Takbiir.......!
Mimi siipendi bakwata haswaa lakini siwezi beba dhimma kubwa ya kumsingia sheikh kuwa amezini binaadamu bhana ,tena isitoshe maiti
 

They are all the same, if you ask me. Mufti Hemed bin Jumaa, Mufti Issa Shabani Simba, Mufti Abubakar Zuberi, wote hawa toka siku wanatangazwa hakuna anaejua qualifications zao kuongoza BAKWATA.

Wana experience gani, wameongoza nini, wamefanya nini with their lives to deserve, much less qualify, kuwa ma Mufti? Mufti Zuberi according to Kinondoni insiders was a neither-here-nor-there muslim old guard at the head office, did nothing.

Tafuta news archives kwenye magazeti baada ya kifo cha Simba. Walipomu introduce Alhaji Zuberi, hakuna hata sehemu moja wanasema who the hell he was. Katokea ghafla out of the woodwork akawa Mufti. Unakuwaje Mufti wetu hatujui hata dini umefundishwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…