kilimo2bora
Member
- Sep 27, 2017
- 18
- 6
Mungu atawahukumu wanafki wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mfano yule shekhe mkuu wa DSM kwa MTU yoyote Mwenye akili timamu lazima utampenda tu. Japo mm co muislam lakin ningependa niende msikiti anaoswalisha huyu shekhe. Cjawah kuelewa kwa nn Yuko tofauti na wengine.Mimi sio Muislamu ila yule Hemed Bin Jumaa Bin Hemed alikuwa ananivutia sana jinsi anavyoongea Kiswahili chake. Alikuwa akiongea anamalizia na kibwagio chake, "Dhahir eeh"
Kwanini Mwenye Kisukari asitie??MTU mwenye kisukari anaweza kutia bna wewe!!?..mtu aache kutiana huku akatie Makkah!!?..kilichosikika ni mke wake kugombea tenda ya kubeba mizigo ya mahujaj
Mi labda Msikiti wa Sheikh Kipozeo ndio ningependa kwenda kuswali na kupata Mawaidha Muruakwa mfano yule shekhe mkuu wa DSM kwa MTU yoyote Mwenye akili timamu lazima utampenda tu. Japo mm co muislam lakin ningependa niende msikiti anaoswalisha huyu shekhe. Cjawah kuelewa kwa nn Yuko tofauti na wengine.
Duh kaka! Una uhakika na hili kweli? Kufumaniwa mecca kwenye maelfu ya watu kweli inawezekana? Halafu kuzini mecca!!!? huyo jamaa aliweka historia kama ni kweli.Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
haisimami babu..anaweza kuanza harakati za kusimamisha alfajir ikashindikana..akifika ofisini ndiyo inasimama..pengne kwa mwezi Mara mbili tena hapo kajitahidi kweliKwanini Mwenye Kisukari asitie??
Kwani anakua hana kitilio??
Duh, isije ikawa kumpakazia mzee wa watu!Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Ha ha haaaaa,haisimami babu..anaweza kuanza harakati za kusimamisha alfajir ikashindikana..akifika ofisini ndiyo inasimama..pengne kwa mwezi Mara mbili tena hapo kajitahidi kweli
Eee Mola tunusuru sie waja wako kama yaloandikwa hapa kuhusu viongozi wa Umma wako ni swahihi!Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Vitisho tuuu, sasa kama aliyeandika ana ushahidi wa huyo mufti kuzini na kufumaniwa na wake zake je?Muogope mungu sana,
Unamsingizia maiti huogopi wewe,
Kosa kumsingizia alokuwa hai, jee huyu alokuwa maiti jee?
Vipi utamuomba msamahan wakati hayupo tena, usiwe unafanya mambo kwa kufurahisha nafsi au kwa ajili ya chuki ni hatari zaidi.
Na hatari zaidi ya kuwa ulipomsingizia ni pahali patakatifu ambapo waislam wote wanakutana kutimiza nguzo ya tano pamoja na kumuomba allaah awasamehe madhambi yao.
Leo unakuja kusema ya kuwa mufti kazini! Hata angekuwa si mufti, mtu yoyote yule hauwezi kumsemea kosa hilo.
Jee wajua ya kuwa katika uislam kumsingizia mtu zinaa, adhabu yake ni kupigwa fimbo thamanini?
Laiti hukumu ya allaah ingekuwa inatumika basi wewe sasa hivi ni kuhukumiwa fimbo hizo, na bora zaidi kupata hiyo hukumu kuliko adhabu ambayo allaah atakutia katika maisha yako yote ya hapa duniani na kaburini na mpaka kukufuliwa.
Kwa hili huna msamaha mpaka umuombe mwenyewe samahani, sasa sijui umejitayarisha vipi kusimama mbele ya allaah na kumpa hoja ya kuwa kwa nini ulisema hivi, na pia sijui ulomsingizia hata hiyo siku ya siku atakuwa mwenye kukusamehe.
Note:
Mufti simba simjui namsikia tuu, ila nimesema haya kwa yoyote yule anaemsingizia mtu uongo, uwe wowote ule, ajitayarishe makaazi yake motoni
Mkuu, me sikuwahi kuisikia hii hadi ninapopata habari toka kwako.Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Wewe unayekariri kuwa marehemu kasingiziwa, je ikidhihirika kuwa kweli alitenda, utakuja na maelezo gani kutetea?Muogope mungu sana,
Unamsingizia maiti huogopi wewe,
Kosa kumsingizia alokuwa hai, jee huyu alokuwa maiti jee?
Vipi utamuomba msamahan wakati hayupo tena, usiwe unafanya mambo kwa kufurahisha nafsi au kwa ajili ya chuki ni hatari zaidi.
Na hatari zaidi ya kuwa ulipomsingizia ni pahali patakatifu ambapo waislam wote wanakutana kutimiza nguzo ya tano pamoja na kumuomba allaah awasamehe madhambi yao.
Leo unakuja kusema ya kuwa mufti kazini! Hata angekuwa si mufti, mtu yoyote yule hauwezi kumsemea kosa hilo.
Jee wajua ya kuwa katika uislam kumsingizia mtu zinaa, adhabu yake ni kupigwa fimbo thamanini?
Laiti hukumu ya allaah ingekuwa inatumika basi wewe sasa hivi ni kuhukumiwa fimbo hizo, na bora zaidi kupata hiyo hukumu kuliko adhabu ambayo allaah atakutia katika maisha yako yote ya hapa duniani na kaburini na mpaka kukufuliwa.
Kwa hili huna msamaha mpaka umuombe mwenyewe samahani, sasa sijui umejitayarisha vipi kusimama mbele ya allaah na kumpa hoja ya kuwa kwa nini ulisema hivi, na pia sijui ulomsingizia hata hiyo siku ya siku atakuwa mwenye kukusamehe.
Note:
Mufti simba simjui namsikia tuu, ila nimesema haya kwa yoyote yule anaemsingizia mtu uongo, uwe wowote ule, ajitayarishe makaazi yake motoni
Mimi sio Muislamu ila yule Hemed Bin Jumaa Bin Hemed alikuwa ananivutia sana jinsi anavyoongea Kiswahili chake. Alikuwa akiongea anamalizia na kibwagio chake, "Dhahir eeh"
Bakwata hii inaaendeshwa kisiasa, Waite takukuru kama kuna ubadhilifu sio kumuondoa mufti kwa majunguHali si shwari ndani ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) na sasa kundi la viongozi ndani ya baraza hilo wanakula njama za kumuondoa kiongozi wao makini Mufti Zubeir.
Hali hiyo inakuja huku zaidi ya miezi miwili Bakwata haina ofisi na zaidi ya wafanyakazi 50 wa Bakwata Makao Makuu hawajalipwa mishahara yao kwa zaidi miezi kumi na moja(11).
Kadhalika zaidi ya walimu kumi na tano wa shule ya Bondeni Arusha hajalipwa mishahara yao, na huku Baraza lote la Masheikh la mkoa wa Katavi na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bakwata Mkoa wa Katavi kujiuzulu kutokana na kutokuwa na IMANI na mufti zuberi.
Tayari zipo taarifa sasa za kuandaliwa mpango wa kuondolewa madarakani mufti kutokana kile kinachodaiwa kwamba ni kushindwa kuongoza Bakwata na ubadhirifu mkubwa wa mali za Bakwata uliofanywa na mufti na ndugu zake wa karibu.
Wajumbe kadhaa wa Baraza la masheikh Taifa wanajiandaa kutumia katiba ya Bakwata kumuengua mufti katika nafasi yake ya umufti kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Wakati wajumbe wengine kumi wa halmashauri kuu ya Bakwata Taifa wakijiandaa kuwasilisha hoja ya kutokuwa na Imani na mufti katika kikao kijacho ili kutoa nafasi ya mufti kujiuzulu kabla hawajatoa taarifa za siri za ubadhilifu mkuu wanaoujua wajumbe hao dhidi ya mufti.
Wakati huo huo viongozi wa Bakwata toka mikoa mitano, wanajiandalia kujiuzulu kutokana na kuchoshwa kwao na vitendo vya mufti Zuberi. Vitendo hivyo ikiwa ni pamoja na mufti Zuberi kuingiza Bakwata kwa miaka miwili sasa bila muelekeo wowote, huku vitendo vya ubadhirifu, ubinafsishaji wa mali za bakwata na ubabaishaji kushika kasi na ndugu wa mufti kupewa kipaumbele bila kuzingatia katiba ya Bakwata.
Updates:
Masheikh watatu ambao ni wajumbe wa baraza la ulamaa taifa Bakwata,wakishirikiana na sheikh mkuu wa dar es salaam,sheikh mkuu wa tabora,pamoja na kiongozi mwandamizi wa zamani wa Bakwata ndio wanasuka mpango wa kumuondoa mufti wa Tanzania Abubakar Zuberi.
Mpango huo ulioandali kwa umakini mkubwa,huenda ukamfanya mufti Zuberi kuwa ni mufti wa kwanza kuenguliwa katika historia ya bakwata na kupelekea mufti kwa mara ya kwanza kutoka Rufiji.
Mpango ambao ulikuwa utekelezwe wakati Mufti Zuberi akiwa yupo Morocco,ambao kwa sasa utatekelezwa wakati wowote.
Nitaendelea kuwapa update!!!
Laanatullaah..Mungu na akuonyeshe ubaya ulioufanya kabla hapajakuchaMufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Mimi siipendi bakwata haswaa lakini siwezi beba dhimma kubwa ya kumsingia sheikh kuwa amezini binaadamu bhana ,tena isitoshe maitiKwani Mufti ana level ipi ya Ilmu?
Je hao viongozi wa Bakwata?
Takbiir.......!
Muogope mungu sana,
Unamsingizia maiti huogopi wewe,
Kosa kumsingizia alokuwa hai, jee huyu alokuwa maiti jee?
Vipi utamuomba msamahan wakati hayupo tena, usiwe unafanya mambo kwa kufurahisha nafsi au kwa ajili ya chuki ni hatari zaidi.
Na hatari zaidi ya kuwa ulipomsingizia ni pahali patakatifu ambapo waislam wote wanakutana kutimiza nguzo ya tano pamoja na kumuomba allaah awasamehe madhambi yao.
Leo unakuja kusema ya kuwa mufti kazini! Hata angekuwa si mufti, mtu yoyote yule hauwezi kumsemea kosa hilo.
Jee wajua ya kuwa katika uislam kumsingizia mtu zinaa, adhabu yake ni kupigwa fimbo thamanini?
Laiti hukumu ya allaah ingekuwa inatumika basi wewe sasa hivi ni kuhukumiwa fimbo hizo, na bora zaidi kupata hiyo hukumu kuliko adhabu ambayo allaah atakutia katika maisha yako yote ya hapa duniani na kaburini na mpaka kukufuliwa.
Kwa hili huna msamaha mpaka umuombe mwenyewe samahani, sasa sijui umejitayarisha vipi kusimama mbele ya allaah na kumpa hoja ya kuwa kwa nini ulisema hivi, na pia sijui ulomsingizia hata hiyo siku ya siku atakuwa mwenye kukusamehe.
Note:
Mufti simba simjui namsikia tuu, ila nimesema haya kwa yoyote yule anaemsingizia mtu uongo, uwe wowote ule, ajitayarishe makaazi yake motoni
Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.