Tetesi: Tishio la Tsunami: Gari ya matanagzo inatangaza Kuchafuka kwa Bahari maeneo ya Coco Beach

mmmmh! Labda imepelekwa kuleeeee kwa wakulu, ngoja nikaitazame nitakupa "mlisho nyuma" kama feedback
Dah asante sana umeniongezea msamiati MLISHO NYUMA [emoji23][emoji23][emoji23] kama wa Sukubasi [emoji87]
 
Wanakubali, sharti lao uwe umekaa JF zaidi ya mwaka. Sasa wewe una added advantage kuwa una "heshima" zako humu JF watakubali. ingia PM ya JamiiForums
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]nikifanikiwa kurudi nitakuwa mtiifu sana
 
Kuna Gari ya matangazo inapita kutahadharisha Raia Juu ya kuchukua Tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na fukwe za coco beach waondoke kwani bahari inaweza kuchafuka muda wowowte.

Nimejaribu kuangalia kwenye webdite ya TMA sijaona warning yoyote
HAPO NI KICHAA ANAMLIA TIMING MZEE MKAPA ANAYEISHI COCO BEACH KWENYE UFUKWE WA UPANGA...ahame hilo jengo BARABARA IPITE au BAHARI ITACHAFUKA!!!!! hahahaha jiwe bwana...kweli kichaa
 
NAMOMBA MLIOPOTEZA NDUGU KWA WATU WASIOJULIKANA MUENDE COCO MTEGE...SI AJABU HATA MAITI YA BEN SAANANE IKAIBUKA HAPO...bahari haitunzi uchafu. husogeza kwenye fukwe ili kila mtu azike chake.
 
NAMOMBA MLIOPOTEZA NDUGU KWA WATU WASIOJULIKANA MUENDE COCO MTEGE...SI AJABU HATA MAITI YA BEN SAANANE IKAIBUKA HAPO...bahari haitunzi uchafu. husogeza kwenye fukwe ili kila mtu azike chake.
Wewe nae akili yako haijitegemei yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…