Tetesi: Tishio la Tsunami: Gari ya matanagzo inatangaza Kuchafuka kwa Bahari maeneo ya Coco Beach

Tetesi: Tishio la Tsunami: Gari ya matanagzo inatangaza Kuchafuka kwa Bahari maeneo ya Coco Beach

TAARIFA

kuna taarifa inatolewa muda huu kuwa muda wowote hali ya bahari itachafuka.
ukisikia taarifa hii mjulishe na mwenzio..haswa watu wa COCO beach
 
Ni mshindo nyuma=feedback
Kwahiyo hata mwanamke mwenye chula tunaweza kumuita mshindo nyuma... Nimewaza tuu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]
 
oooh owky,kuna jamaaa karusha kwenye group la whats app.

Magari ya Fire na ving'ora yanazunguka maeneo ya coco wakitangaza ila nafikiri ni ile tunaita Drill yaaani kupima muitikio wa watu kwenye issues za maafa.

Pamoja na matangazo yote na mbwembwe zote bado naona watu wanajivinjari tu pembezoni mwa coco beach.

Kuna bara bara zinazoingia coco beach zimefungwa.
 
Kwahiyo hata mwanamke mwenye chula tunaweza kumuita mshindo nyuma... Nimewaza tuu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,mzee hilo watu wa bakita linawahusu kwa ufafanuzi
 
Kwahiyo hata mwanamke mwenye chula tunaweza kumuita mshindo nyuma... Nimewaza tuu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]

Feedback ni Mlisho Nyuma. feed= Lisha Back=nyuma hiyo mshindo nyuma ni thunderback
 
Back
Top Bottom