Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hahaha mimi nimepigwa ban kuogelea na wenzangu maana ninaichafua bahari hapo hapo wakati tukiwa tunaogelea.Nenda tu mkuu kaichafue, mi ndio maana siogelea ktk hizi bichi sababu ya watu kama wewe.
Aisee una kipaji, kitunze.Hahaha mimi nimepigwa ban kuogelea na wenzangu maana ninaichafua bahari hapo hapo wakati tukiwa tunaogelea.
Kuna Gari ya matangazo inapita kutahadharisha Raia Juu ya kuchukua Tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na fukwe za coco beach waondoke kwani bahari inaweza kuchafuka muda wowowte.
Nimejaribu kuangalia kwenye webdite ya TMA sijaona warning yoyote
TMA ukute wako sumbawanga kupata usaidizi wa utabiri wao kama wao ni kubeti tu hawana loloteJize!!? Kikifika huku kitakuwa JIZI watu wachukue tahadhari mapema na wasipuuzie matangazo
Btw TMA wanatakiwa ku update hizi habari ASAP
mnaokunya coco beach tushawajua
hahahamnaokunya coco beach tushawajua
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji859][emoji859][emoji859][emoji859][emoji87][emoji125][emoji125][emoji125]TMA ukute wako sumbawanga kupata usaidizi wa utabiri wao kama wao ni kubeti tu hawana lolote
Chura.Kwahiyo hata mwanamke mwenye chula tunaweza kumuita mshindo nyuma... Nimewaza tuu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]
Yalikuwa ni mazoezi ya kukabiliana na Tsunami endapo itatokea na namna watu wanavyoweza kuitikia wito pale hatari inapokuwepo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahio pamoja na kuweka hio attachment hamjaelewa tu kuwa hilo ni zoezi? Tsunami evacuation drill?