TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Watu wanakupenda wanakumic ndomna wanapenda kukuzingua
Wakiona uko kimya wanakutafutia chokochoko[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

πŸ€—

Nabasoma wananipa kila jina na kunifikiri nisiwo.. unajua chokochoko yao.. nakwenda nawo sambamba.. hata wale wametaka kunifukuza humu..wameshindwa.. so πŸ˜‚
 
Ukitaja neno TISS unanikumbusha State Research Bureau (SRB) ya Uganda enzi za Idd Amin, Wahenga wafuatiliaji wa mambo watakumbuka! sina nyongeza bali hatua zichukuliwe kurejesha heshima na hadhi ya idara yetu hii nyeti kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa letu.
 
Yani unaposema TISS wajitokeze kukanusha tuhuma inaonesha ni jinsi gani ulivyo 0 kichwani...

Naishia hapa
 
No such a thing called "natural intelligence".
 
πŸ€—

Nabasoma wananipa kila jina na kunifikiri nisiwo.. unajua chokochoko yao.. nakwenda nawo sambamba.. hata wale wametaka kunifukuza humu..wameshindwa.. so πŸ˜‚
Banyamulenge bamutu na Congo, banapenda kuongea bakiswahili. But na moyi ezali nangai, zambe mobimba πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ boss una mafua nini?
 
TISS haiwezi kuwa sehemu ya mipasho, mbunge kasema wai wajibu kwanza hata thamani yao itaondoka, uzi wako umeegemea sana katika dhana huna huthibitisho wa matendo.... Narudia TISS haiwezi kugeuka kujibu kujibu... TISS si watu wa mipasho....
 
Banyamulenge bamutu na Congo, banapenda kuongea bakiswahili. But na moyi ezali nangai, zambe mobimba πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ boss una mafua nini?

Congo tena!!!.. yaani wanaume nyie nao.. mie nisiandike meanijia juu kama sijui nini..mwaniweka hukwu na kulwela hamuchoki..hiyo kimobimba nakuachia kikwenu..tulia usije jikaba ukiwa unapandisha suruali juu..kwa kuifikisha shingoni.. 🀣🀣🀣🀣
 
Uandishi wako ni kama Mrundi acha kudhalilisha lugha yetu ya kiswahili!
 
We una amini Pasco alipigwa Summary Dismissal? TISS Wana namna nyingi za kufanya vipenyo waonekane ni wenzetu. Shtuka!
Mkuu Mzito Kabwela , kiukweli nimecheka asubuhi asubuhi. Hivyo inawezekana hata mtu alibandika bandiko hili
anaweza kuwa ni ofisa wao, akizungumzia ofisi yake mitandaoni tena kwa kutumia jina lake halisi ambalo ni verified?!.

Kama ni kweli, then kazi ipo !.

P
 
Mkuu tatizo TISS ni mtoto wa serikali aliyeharibika.
Watoto wengine wa serikali hawana kutia neno juu yake.
Tatizo kubwa zaidi ya matatizo uliyotaja 2017 mwanzo wa mada, ni kuingiliwa kiutendaji kwa hali ya juu na wanasiasa hadi TISS sasa hivi kuchukua a very negative image.

Recruitment ni tatizo, operations kuingiliwa na wakubwa hadi missions zisizo na manufaa kwa Taifa kuagizwa na wakubwa.
Tetesi kuwa TISS is devided hasa miaka mitano iliyopita zipo.

Suala la kupata viongozi from outside wigo wa Idara nalo ni tatizo.
Linaingiza resentment, na tetesi za kilichompata DG Kapilimba zipo mitaani.
MIA ya JWTZ kwa sasa ndiyo iko vizuri na wananchi kwa ujumla walifurahia super stealth operations zake hasa wakati wa makabidhiano na kutetea katiba kumteua Mama Samia katika madaraka ya urais.
Baada ya kuingiliwa miaka mingi TISS haiwezi kuwa as efficient kama zamani, ifanyiwe tathmini na marekebisho.
 
Linaingiza resentment, na tetesi za kilichompata DG Kapilimba zipo mitaani.
Sina uhakika kama kilichompata DG Kipilimba ndani ya Tiss kiliwahi kuletwa humu JF, mambo mengine ya mitaani bora yaishie huko huko mitaani !. Tena akiwa Balozi Zimbabwe, Kipilimba alielezwa stutus ya hali ya Afya ya JPM, akaamua kuisaidia Idara from Zimbabwe kwa kutia neno...
MIA ya JWTZ kwa sasa ndiyo iko vizuri na wananchi kwa ujumla walifurahia super stealth operations zake hasa wakati wa makabidhiano na kutetea katiba kumteua Mama Samia katika madaraka ya urais.
If you not an insider ans its not a breach, please tumegee japo kidogo hizo super stealth operations
Baada ya kuingiliwa miaka mingi TISS haiwezi kuwa as efficient kama zamani, ifanyiwe tathmini na marekebisho.
Naunga mkono hoja na hiki ndicho nilicho shauri kwenye andiko hili.
p
 
Mkuu Pasco , katika fani ya inteligensia hakuna kitu cha mitaani.
Ndio maana vijana wanatumwa kwenye mabaa kusikiliza tu watu wanasema nini.
ALL information is collected, wengine ndio wanafanya analysis, true or false.
Kwamba Kapilimba aliondolewa in itself ni moshi uliofukuta.
Uki analyse alichosema Kapilimba akiwa Zimbabwe is probably the official narrative, kama alivyosema Waziri Mkuu Songea.
Lakini mitaani (un official outlets) hadithi ilikuwa tofauti kabisa, na hatimaye ikaonekana kuwa kweli.

Kuna muda mzuri tu chombo chetu hiki kukaa sawa na kutekeleza kazi zake kwa weledi bila kuingiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…