TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Andiko zuri ila kwa maoni yangu popote pasipo na uadilifu kila jambo la hovyo na la kidhalimu linawezekana.Hao TISS sio malaika.Ni watu. Lakini ajabu zaidi matukio yote ya kidhalimu wakubwa wapo kimya.Hii ni ishara tosha wanajua kinachoendelea.
 
Tanzania tuna majeshi makubwa matatu na ndani yake kuna majeshi madogo madogo mengi。

Majeshi makubwa ni
  1. JWTZ- (TPDF)chini ya CDF - kulinda usalama wa nchi na mipaka yetu。 Chini yake kuna JKT,Anga,Marine
  2. Polisi -(PT)chini ya IGP- kulinda usalama wa raia na mali zake。 Chini yake kuna Trafiki
  3. Usalama wa Taifa (TISS)chini ya DGIS - kulinda usalama wa serikali na viongozi wake。Chini yake kuna GSU na PSU
kisha kuna majeshi madogo 4 chini ya ma Kamishna
  1. Magereza - wafungwa
  2. Uhamiaji
  3. Zimamoto na uokoaji
  4. Madawa ya kulevya
chini ya hapo uanafuata majeshi USU, para military
wakiongozwa na
  • Mgambo
  • KMKM
  • Wanyamapori
  • Makampuni ya ulinzi
P
Takukuru hulitambui ? Nawaona hapo next room wamenuna...
 
Wanabodi

Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa nchini kwetu, hii ni idara yetu ya Usalama wa Taifa, TISS.

Introduction ya Mada
Hii ni mada very serious and sensitive kwasababu inaijadili idara yetu nyeti ya TISS ambayo kutokana na unyeti wake issues za idara hii huwa hazijadiliwi hovyo hovyo, wazi wazi na openly na kwa uwazi, hivyo ukiona hadi watu tunaojinasibu humu kuwa ni wazalendo wa kweli wa taifa hili halafu tukajitokeza openly waziwazi humu kuijadili TISS huku tukitumia majina yetu halisi, huu ni uthibitisho kuwa tunaleta mjadala huu kwa nia njema kabisa kwa kusukumwa na uzalendo wa kulisaidia taifa letu pale idara yetu hii nyeti, inapochafuliwa kwa kusingiziwa tuhuma za uongo, bila uthibitisho wowote, lakini pia kama ni kweli TISS inahusika, na hawa 'wasiojulikana', then tukubaliane kuwa TISS itakuwa ni imechafuka na inahitaji kusafishwa, the sooner the better!.

Topic ya mjadala huu ni TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!, wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika kuhusika, wafumuliwe kwa kusafishwa tujenge TISS safi yenye uadilifu wa mke wa Kaizari!

Hivyo naomba mjadala huu ufanyike kwa heshima, staha na uangalifu mkubwa ili bandiko hili lisionekane ni bandiko la kukosa uzalendo kwa ķuibagaza idara hii nyeti, yenye heshima kubwa, bali liwe ni bandiko la uzalendo wa kweli kwa taifa letu lenye lengo la kusadia taifa letu kwasababu haya matukio ya ajabu ajabu yanayohusishwa na TISS, yanaichafua heshima na taswira mzuri ya TISS yetu, ambapo kikawaida TISS inapaswa kuwa kama Ikulu, Ikulu ni mahali patakatifu, na TISS inapaswa kuwa ni Idara takatifu, uadilifu wa TISS, unapaswa uwe ni uadilifu wa kiwango cha juu kabisa ambao haupaswi kutiliwa shaka yoyote, unapaswa kuwa ni uadilifu wa kiwango cha mke wa Kaisari, ile kutuhumiwa tuu ni kosa tosha hata bila kuthibitishwa!, anahukumiwa!, hivyo hizi tuhuma mbalimbali za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji zinazoelekezwa TISS bila ya kukanushwa, zinapelekea TISS yetu kuhukumiwa na mahakama ya umma ambayo haihitaji ushahidi kama tuhuma tuu za mke wa Kaisari, hivyo lengo la bandiko hili ni ushauri wa bure kwa TISS yetu kuwa haya mambo mabaya ambayo TISS inanyooshewa kidole kuwa inahusika, kama haihusiki, TISS i come to an open, ikanushe!, ukituhumiwa tuhuma za uongo, ukinyamaza kimya bila kukanusha, hiyo silence inachukuliwa kama ni admission of guilty!.

Declaration of Interest
Tunapojadili jambo nyeti kama hili, ni vizuri ku declare interest ili kwanza kujenga imani kwenu wasomaji wangu kuwa mwandishi wa makala hii ni mtu wa kuaminika, hizi data kwenye bandiko hili ni data za kuaminika authentic, bonafide genuine from trusted sources na sio data za kuokoteza, data za kubuni, kuzua, au kuunga unga, hivyo ni vyema mimi nikajitambulisha kidogo kwenu, pia kwa sababu mtu unapotoa data nyeti from time to time katika mabandiko yako, huchelewi kunyooshewa kidole kuwa huyu jamaa ni TISS, hivyo na mimi kudhaniwa ni TISS, hivyo bandiko kama hili, litawafungua macho wengi humu kuwa huyu mtoa mada atakuwa ni TISS wa ajabu sana kuilaumu ofisi yake mitandaoni!.

Mimi Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kuandika Investigative Stories, (IJ), ila pia nimepata bahati ya kuzaliwa na kukulia katika familia ya TISS kwa wazazi wangu wote wawili, baba na mama. Baba Mzee Andrew Mayalla (RIP) ameishatangulia mbele ya haki, na mama bado yuko hai, hivyo baadhi ya hoja zangu za kiitelijensia, sio kwasababu mwana wa nyoka ni nyoka, bali mtoto ukizaliwa kwa wazazi wote wawili ni wana inteligensia wa TISS, unazaliwa na natural intelligence ambayo ni tool muhimu sana kuweza kuwa Investigative Journalist.

Tuhuma Mbalimbali TISS
Kuna matukio mbalimbali yametokea na kuhusishwa na TISS, mengine ni visible, mengine ni invisible, sasa kwa sababu watu wote wenye akili timamu, wanajua TISS zote duniani huwa zinafanya matukio, yale matukio ambayo in invisible yanayohusishwa na TISS, kama kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda, sitahitaji TISS wajitokeza kuyakanusha kwasababu ni tuhuma za hisia tuu, lakini kwa yale matukio visible kama kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kuvamiwa kwa Clouds Media na wale makirikiri wa Mkuu wa Mkoa wa DSM na yule mpuuzi aliyemtishia bastola Waziri Nape kuelezwa kuwa wale ni TISS kunaichafua idara yetu nyeti ya TISS!. Hivyo kama wale makirikiri waliovamia Clouds TV sio watu wao, TISS wasikae kimya wajitokeze wawakane na kukanusha uhusika wa TISS!. Kama yule mpuuzi aliyemtishia Nape kwa bastola sio mtu wao, TISS wajitokeze wamkane na wakanushe. Huku kutokea kwa matukio kama haya na kuhusishwa na TISS, halafu TISS wanajua sii kweli, sii wao, huku kukaa kimya bila TISS kukanusha uhusika wake, kunachukuliwa ni admission of guilt!.

Jee Tuhuma za Uhusika wa TISS zinatolewa Wapi na Zinatolewa na Nani?.
Nyingi ya tuhuma za kuhusika kwa TISS katika baadhi ya matukio ya hovyo, huanza kwa kutolewa na watu tuu wa kawaida, tuhuma zinapotolewa na watu wa kawaida tuu, watu ambao they are nobody, na zinatolewa kwenye vijiwe vya kahawa, it is right, kuzipuuza, lakini tuhuma hizi dhidi ya TISS zinapofikia kiwango cha kutolewa ndani ya Bunge letu Tukufu, tuhuma hizi sio za kuzipuuzia hata kidogo!, kwasababu Bunge ni chombo rasmi, wabunge wetu ni wawakilishi rasmi wa wananchi, wanapoituhumu TISS Bungeni, this is something very very serious!, sio jambo dogo la kupuuziwa!, kwasababu TISS iko chini ya Ikulu yetu, haiwezi kufanya mambo ya hovyo bila mwenye ikulu yetu kujua au kuhusika!, na Ikulu ni mahala patakatifu, tuhuma tuu kumhusu mke wa Kaisari zinatosha kumuondoa Ikulu asije akapanajisi patakatifu petu!. Hiyo TISS isikae kimya lazima iibuke kuja kukanusha kutohusika kwake na kujisafisha na uchafu wa makandokando haya!, winginevyo kama ni kweli inahusika, ijitathimini yenyewe kwa kuwajibika au iwajibishwe kwa kusafishwa!.

Jee TISS ni Chafu Inahitaji Kusafishwa?.
Huu mjadala unaoendelea kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ambavyo vinahusishwa na idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa, TISS ni uthibitisho tosha kuwa TISS imechafuka inahitaji au kujisafisha au kusafishwa!.

Pamoja na Tanzania kuridhia mkakati wa Open Government Initiatives lakini kuna vitu huwezi kuvijadili openly lakini bado unaweza kuvichunguza na kuvifanyia kazi kimya kimya ila public ikaona matokeo na kurudisha imani.

Kuna watu wanadhani Usalama wa Taifa TISS wao ni malaika na hawawezi kabisa kufanya makosa kama madudu haya wanayotuhumiwa nayo sasa. No!, TISS ni kweli kwa vile iko chini ya Ikulu, na Ikulu ni mahali patakatifu, TISS pia inapaswa kuwa ni idara takatifu, lakini kwa vile TISS inaendeshwa na binadamu na sio malaika, TISS inaweza kufanya makosa na uchafu huo ukawa ni kweli ni TISS, ndio maana katika bandiko hili nasisitiza tuhuma hizi dhidi ya TISS kama sii kweli, TISS ikanushe, kama ni kweli, TISS imechafuka na inahitaji kusafishwa!. Hii sii mara ya kwanza kwa TISS kuchafuka, huko nyuma kuliwahi kutokea matukio ya TISS kuchafuka na Ilisafishwa!.

TISS Iliwahi Kuchafuka Vipi na Ilisafishwaje?.
Tiss huko nyuma iliwahi kufanya makosa ya utekaji, utesaji na hata uuaji, na ikafumuliwa!. Hivyo kwa vile tayari tunayo precedence ya vitendo viovu vya TISS kuwahi kufanyika huko nyuma, hivyo kwa kuutumia uthibitisho wa uovu huo, una justify kuwa kuna pia kuna wa vitendo hivi viovu ambavyo TISS inashutumiwa navyo, kuna uwezekano kabisa ikawa ni kweli ni TISS wetu ndio is behind huu uovu na uchafu huu unaozungumziwa sasa hadi Bungeni kwetu, ndio maana hadi Bunge linaelezwa halafu TISS wamekaa kimya wakishupaza shingo zao, kwa hoja kuwa "mnaweza kutufanya nini?", it's very true TISS ya nchi zote wakifanya uovu wowote kwa amri halali kutoka juu, no one can do anything!, hawawezi kufanywa lolote wala kuchunguzwa na yoyote, hapa duniani, but kuna mamlaka moja pekee kuu kuliko mamlaka zote, inayoweza kufanya kitu, kupitia kitu kinachoitwa Karma, hakuna atakajua kuwa mamlaka hiyo imefanya, bali matokeo ya karma ndio huonekana!.

Jee ni TISS Wetu Wanafanya Vitendo Hivi au Wanasingiziwa?.
Kuna uwezekano sio kila utekaji, utesaji, mashambulio na mauaji yanafanywa na TISS, inawezekana kabisa sio TISS as TISS bali matukio hayo ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu, hivyo vitendo viovu vya members wachache wa TISS, vikaichafua image nzima ya TISS yetu safi collectively under the collective responsibilities formula.

Pia inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kuwa ni TISS kumbe sio TISS bali ni just impostors wanao fanya matukio kwa kupose as TISS ili ionekane ni TISS, hivyo wanaochafua the good image ya TISS wetu waadilifu, this being the case, TISS iwakane wahuni hawa, ijitokeze kukanusha uhusika wake, na wahuni hawa watafutwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuchafua good image ya TISS yetu takatifu!.

Whichever the case, TISS ijitokeze ama ijisafishe na iwakane wahuni hawa, ama isafishwe na kurudisha imani na TISS wetu kwa wananchi wa taifa letu.

Sikilizeni Tuhuma za TISS Bungeni Kwetu
Hebu kwanza msikilizeni Mhe. Husein Bashe

Kisha msikilize Mhe. Tundu Lissu anasema nini kuhusu utekaji na utesaji wa TISS, hao anaowatetea ndio wenye bahati who could live to tell, hivyo ndio waliosalimika, only God knows kwa wale wasio na bahati hatima yao ilikuwaje because they couldn't live to tell!.
Naweka baadhi ya michango hapa

Mchambuzi, Mkuu Mchambuzi
thanks very much for this, its very objective naona kama umemaliza kila kitu!.

It's true kuna lots of details nime avoid kutokana na uzalendo, pia nimemtaja Mzee wangu tuu kwa sababu alihusika direct, lakini sikumtaja mama yangu ambaye she is still alive and retired (hawaritayi kabisa) wala sikusema kuwa hata mimi almanusura!. Anyway haya tuyaache.

Although mhusika mkuu hataisoma kutokana na lingua uliyotumia, wahusika wenyewe wamesoma, na wamesikia labda waendelee tuu kutia pamba masikioni kwa sababu kujadili jambo lolote kuhusu TISS was considered a taboo hivyo bandiko hili kwa TISS ni kama abomination!.
Thanks again.
Paskali
Bandiko hili la Mkuu Return Of Undertaker Lissu: Tuna vithibitisho na mashahidi wa utekaji toka serikalini, mawaziri mnaogopa nini? ni uthibitisho wa tuhuma hizi uliotolewa Bungeni

Mkuu the Return Of Undertaker, thanks for this. Nikichangia uzi huu wa Undertaker, ndipo nilipo eleza madudu ya ajabu ya TISS ya enzi hizo
Kuna huyu mchangiaji ametoa hoja ya msingi sana

Mkuu Grand Puba, nilichosema ni
1. TISS sio malaika, huko nyuma waliwahi kuteka, kutesa na kuua, Nyerere alikasirika hivyo wahusika walitumuliwa kazi, walishitakiwa na walifungwa.

2. Imeelezwa wale makirikiri wa Bashite ni Tiss, hakuna aliyekanusha!.

3. Imeelezwa yule mpuuzi aliyemtolea Nape Bastola ni TISS, hakuna aliyekanusha!.

4. Hivyo kwa kutumia precedence ya TISS huko nyuma kuna justify kuwa kuna uwezekano ikawa ni kweli TISS is behind huu uovu na uchafu unaozungumziwa Bungeni.

5. Pia inawezekana sio TISS as TISS bali ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu.

6. Inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kumbe ni just impostors kuchafua TISS wetu waadilifu, whichever the case, TISS ijitokeze iwakane na kurudisha imani na TISS wetu.

Kama haya yanazumzwa Bungeni then TISS ama ijitokeze kukanusha au ijisafishe kwa safisha safisha.
Paskali

Idara imekuwa ya kijinga sana inateua watu kijinga mno na inaingiza watu wa hovyo mno. Idara imekufa imebaki nayo kuibia Taifa.
 
Once a critical thinker, always a critical thinker, P ni yule yule, juzi, jana , leo, kesho na milele!. Karibu hapa mada yangu ya wiki hii Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?
P
Advocate, jiulize kwanini Kikwete aliishia njiani na katiba mpya ingawa alikuwa na lengo zuri??? Najua majibu unayo maana uwezo wa kupata "Classified information " unao.
Then njoo kwenye katiba+sheria ya uchaguzi.
U'll get the point
 
Advocate, jiulize kwanini Kikwete aliishia njiani na katiba mpya ingawa alikuwa na lengo zuri???
JK hakuishia njiani, time was not enough, wakaliweka kwenye ilani, wakamkabidhi yule Mwamba!.

Mwamba aliposema katiba mpya sio kipaumbele changu, hawa majamaa walimpigia makofi, mimi angalau niliandika kuuliza Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta? amini usiamini, yule Mwamba, jf alikuwa anaingia mwenyewe in person, hoja hiyo ilimgusa!.

Ilani iliofuatia ya 2020-2025, katiba mpya iliondolewa, ila amini usiamini, ile sauti iliniambia Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya! ila ndio hivyo tena, the accumulation ya bad karma, ilavuka viwango, mambo yakawa ndio kama vile, karma ikala kichwa!
Najua majibu unayo maana uwezo wa kupata "Classified information " unao.
Asante kwa imani yako kwangu kuwa nina uwezo wa kupata classified info, kiukweli sina uwezo huo, wala the access, ila kwa vile nina damu yao kwenye veins zangu, mimi pia huwa napata classified by voices from within, mfano mgombea wa CCM 2025 sikupewa jina ila nilielezwa tuu jinsia yake hapa kwenye sauti HII
Then njoo kwenye katiba+sheria ya uchaguzi.
U'll get the point
Hapa naomba unisaidie!
P
 
JK hakuishia njiani, time was not enough, wakaliweka kwenye ilani, wakamkabidhi yule Mwamba!.

Mwamba aliposema katiba mpya sio kipaumbele changu, hawa majamaa walimpigia makofi, mimi angalau niliandika kuuliza Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta? amini usiamini, yule Mwamba, jf alikuwa anaingia mwenyewe in person, hoja hiyo ilimgusa!.

Ilani iliofuatia ya 2020-2025, katiba mpya iliondolewa, ila amini usiamini, ile sauti iliniambia Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya! ila ndio hivyo tena, the accumulation ya bad karma, ilavuka viwango, mambo yakawa ndio kama vile, karma ikala kichwa!

Asante kwa imani yako kwangu kuwa nina uwezo wa kupata classified info, kiukweli sina uwezo huo, wala the access, ila kwa vile nina damu yao kwenye veins zangu, mimi pia huwa napata classified by voices from within, mfano mgombea wa CCM 2025 sikupewa jina ila nilielezwa tuu jinsia yake hapa kwenye sauti HII

Hapa naomba unisaidie!
P
Nimekupa "important Hints" mengine utajiongeza mwenyewe, na uzuri wewe ni Senior +Advocate.
So, I Haven't any doubt
 
Wanabodi

Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa nchini kwetu, hii ni idara yetu ya Usalama wa Taifa, TISS.

Introduction ya Mada
Hii ni mada very serious and sensitive kwasababu inaijadili idara yetu nyeti ya TISS ambayo kutokana na unyeti wake issues za idara hii huwa hazijadiliwi hovyo hovyo, wazi wazi na openly na kwa uwazi, hivyo ukiona hadi watu tunaojinasibu humu kuwa ni wazalendo wa kweli wa taifa hili halafu tukajitokeza openly waziwazi humu kuijadili TISS huku tukitumia majina yetu halisi, huu ni uthibitisho kuwa tunaleta mjadala huu kwa nia njema kabisa kwa kusukumwa na uzalendo wa kulisaidia taifa letu pale idara yetu hii nyeti, inapochafuliwa kwa kusingiziwa tuhuma za uongo, bila uthibitisho wowote, lakini pia kama ni kweli TISS inahusika, na hawa 'wasiojulikana', then tukubaliane kuwa TISS itakuwa ni imechafuka na inahitaji kusafishwa, the sooner the better!.

Topic ya mjadala huu ni TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!, wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika kuhusika, wafumuliwe kwa kusafishwa tujenge TISS safi yenye uadilifu wa mke wa Kaizari!

Hivyo naomba mjadala huu ufanyike kwa heshima, staha na uangalifu mkubwa ili bandiko hili lisionekane ni bandiko la kukosa uzalendo kwa ķuibagaza idara hii nyeti, yenye heshima kubwa, bali liwe ni bandiko la uzalendo wa kweli kwa taifa letu lenye lengo la kusadia taifa letu kwasababu haya matukio ya ajabu ajabu yanayohusishwa na TISS, yanaichafua heshima na taswira mzuri ya TISS yetu, ambapo kikawaida TISS inapaswa kuwa kama Ikulu, Ikulu ni mahali patakatifu, na TISS inapaswa kuwa ni Idara takatifu, uadilifu wa TISS, unapaswa uwe ni uadilifu wa kiwango cha juu kabisa ambao haupaswi kutiliwa shaka yoyote, unapaswa kuwa ni uadilifu wa kiwango cha mke wa Kaisari, ile kutuhumiwa tuu ni kosa tosha hata bila kuthibitishwa!, anahukumiwa!, hivyo hizi tuhuma mbalimbali za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji zinazoelekezwa TISS bila ya kukanushwa, zinapelekea TISS yetu kuhukumiwa na mahakama ya umma ambayo haihitaji ushahidi kama tuhuma tuu za mke wa Kaisari, hivyo lengo la bandiko hili ni ushauri wa bure kwa TISS yetu kuwa haya mambo mabaya ambayo TISS inanyooshewa kidole kuwa inahusika, kama haihusiki, TISS i come to an open, ikanushe!, ukituhumiwa tuhuma za uongo, ukinyamaza kimya bila kukanusha, hiyo silence inachukuliwa kama ni admission of guilty!.

Declaration of Interest
Tunapojadili jambo nyeti kama hili, ni vizuri ku declare interest ili kwanza kujenga imani kwenu wasomaji wangu kuwa mwandishi wa makala hii ni mtu wa kuaminika, hizi data kwenye bandiko hili ni data za kuaminika authentic, bonafide genuine from trusted sources na sio data za kuokoteza, data za kubuni, kuzua, au kuunga unga, hivyo ni vyema mimi nikajitambulisha kidogo kwenu, pia kwa sababu mtu unapotoa data nyeti from time to time katika mabandiko yako, huchelewi kunyooshewa kidole kuwa huyu jamaa ni TISS, hivyo na mimi kudhaniwa ni TISS, hivyo bandiko kama hili, litawafungua macho wengi humu kuwa huyu mtoa mada atakuwa ni TISS wa ajabu sana kuilaumu ofisi yake mitandaoni!.

Mimi Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kuandika Investigative Stories, (IJ), ila pia nimepata bahati ya kuzaliwa na kukulia katika familia ya TISS kwa wazazi wangu wote wawili, baba na mama. Baba Mzee Andrew Mayalla (RIP) ameishatangulia mbele ya haki, na mama bado yuko hai, hivyo baadhi ya hoja zangu za kiitelijensia, sio kwasababu mwana wa nyoka ni nyoka, bali mtoto ukizaliwa kwa wazazi wote wawili ni wana inteligensia wa TISS, unazaliwa na natural intelligence ambayo ni tool muhimu sana kuweza kuwa Investigative Journalist.

Tuhuma Mbalimbali TISS
Kuna matukio mbalimbali yametokea na kuhusishwa na TISS, mengine ni visible, mengine ni invisible, sasa kwa sababu watu wote wenye akili timamu, wanajua TISS zote duniani huwa zinafanya matukio, yale matukio ambayo in invisible yanayohusishwa na TISS, kama kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda, sitahitaji TISS wajitokeza kuyakanusha kwasababu ni tuhuma za hisia tuu, lakini kwa yale matukio visible kama kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kuvamiwa kwa Clouds Media na wale makirikiri wa Mkuu wa Mkoa wa DSM na yule mpuuzi aliyemtishia bastola Waziri Nape kuelezwa kuwa wale ni TISS kunaichafua idara yetu nyeti ya TISS!. Hivyo kama wale makirikiri waliovamia Clouds TV sio watu wao, TISS wasikae kimya wajitokeze wawakane na kukanusha uhusika wa TISS!. Kama yule mpuuzi aliyemtishia Nape kwa bastola sio mtu wao, TISS wajitokeze wamkane na wakanushe. Huku kutokea kwa matukio kama haya na kuhusishwa na TISS, halafu TISS wanajua sii kweli, sii wao, huku kukaa kimya bila TISS kukanusha uhusika wake, kunachukuliwa ni admission of guilt!.

Jee Tuhuma za Uhusika wa TISS zinatolewa Wapi na Zinatolewa na Nani?.
Nyingi ya tuhuma za kuhusika kwa TISS katika baadhi ya matukio ya hovyo, huanza kwa kutolewa na watu tuu wa kawaida, tuhuma zinapotolewa na watu wa kawaida tuu, watu ambao they are nobody, na zinatolewa kwenye vijiwe vya kahawa, it is right, kuzipuuza, lakini tuhuma hizi dhidi ya TISS zinapofikia kiwango cha kutolewa ndani ya Bunge letu Tukufu, tuhuma hizi sio za kuzipuuzia hata kidogo!, kwasababu Bunge ni chombo rasmi, wabunge wetu ni wawakilishi rasmi wa wananchi, wanapoituhumu TISS Bungeni, this is something very very serious!, sio jambo dogo la kupuuziwa!, kwasababu TISS iko chini ya Ikulu yetu, haiwezi kufanya mambo ya hovyo bila mwenye ikulu yetu kujua au kuhusika!, na Ikulu ni mahala patakatifu, tuhuma tuu kumhusu mke wa Kaisari zinatosha kumuondoa Ikulu asije akapanajisi patakatifu petu!. Hiyo TISS isikae kimya lazima iibuke kuja kukanusha kutohusika kwake na kujisafisha na uchafu wa makandokando haya!, winginevyo kama ni kweli inahusika, ijitathimini yenyewe kwa kuwajibika au iwajibishwe kwa kusafishwa!.

Jee TISS ni Chafu Inahitaji Kusafishwa?.
Huu mjadala unaoendelea kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ambavyo vinahusishwa na idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa, TISS ni uthibitisho tosha kuwa TISS imechafuka inahitaji au kujisafisha au kusafishwa!.

Pamoja na Tanzania kuridhia mkakati wa Open Government Initiatives lakini kuna vitu huwezi kuvijadili openly lakini bado unaweza kuvichunguza na kuvifanyia kazi kimya kimya ila public ikaona matokeo na kurudisha imani.

Kuna watu wanadhani Usalama wa Taifa TISS wao ni malaika na hawawezi kabisa kufanya makosa kama madudu haya wanayotuhumiwa nayo sasa. No!, TISS ni kweli kwa vile iko chini ya Ikulu, na Ikulu ni mahali patakatifu, TISS pia inapaswa kuwa ni idara takatifu, lakini kwa vile TISS inaendeshwa na binadamu na sio malaika, TISS inaweza kufanya makosa na uchafu huo ukawa ni kweli ni TISS, ndio maana katika bandiko hili nasisitiza tuhuma hizi dhidi ya TISS kama sii kweli, TISS ikanushe, kama ni kweli, TISS imechafuka na inahitaji kusafishwa!. Hii sii mara ya kwanza kwa TISS kuchafuka, huko nyuma kuliwahi kutokea matukio ya TISS kuchafuka na Ilisafishwa!.

TISS Iliwahi Kuchafuka Vipi na Ilisafishwaje?.
Tiss huko nyuma iliwahi kufanya makosa ya utekaji, utesaji na hata uuaji, na ikafumuliwa!. Hivyo kwa vile tayari tunayo precedence ya vitendo viovu vya TISS kuwahi kufanyika huko nyuma, hivyo kwa kuutumia uthibitisho wa uovu huo, una justify kuwa kuna pia kuna wa vitendo hivi viovu ambavyo TISS inashutumiwa navyo, kuna uwezekano kabisa ikawa ni kweli ni TISS wetu ndio is behind huu uovu na uchafu huu unaozungumziwa sasa hadi Bungeni kwetu, ndio maana hadi Bunge linaelezwa halafu TISS wamekaa kimya wakishupaza shingo zao, kwa hoja kuwa "mnaweza kutufanya nini?", it's very true TISS ya nchi zote wakifanya uovu wowote kwa amri halali kutoka juu, no one can do anything!, hawawezi kufanywa lolote wala kuchunguzwa na yoyote, hapa duniani, but kuna mamlaka moja pekee kuu kuliko mamlaka zote, inayoweza kufanya kitu, kupitia kitu kinachoitwa Karma, hakuna atakajua kuwa mamlaka hiyo imefanya, bali matokeo ya karma ndio huonekana!.

Jee ni TISS Wetu Wanafanya Vitendo Hivi au Wanasingiziwa?.
Kuna uwezekano sio kila utekaji, utesaji, mashambulio na mauaji yanafanywa na TISS, inawezekana kabisa sio TISS as TISS bali matukio hayo ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu, hivyo vitendo viovu vya members wachache wa TISS, vikaichafua image nzima ya TISS yetu safi collectively under the collective responsibilities formula.

Pia inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kuwa ni TISS kumbe sio TISS bali ni just impostors wanao fanya matukio kwa kupose as TISS ili ionekane ni TISS, hivyo wanaochafua the good image ya TISS wetu waadilifu, this being the case, TISS iwakane wahuni hawa, ijitokeze kukanusha uhusika wake, na wahuni hawa watafutwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuchafua good image ya TISS yetu takatifu!.

Whichever the case, TISS ijitokeze ama ijisafishe na iwakane wahuni hawa, ama isafishwe na kurudisha imani na TISS wetu kwa wananchi wa taifa letu.

Sikilizeni Tuhuma za TISS Bungeni Kwetu
Hebu kwanza msikilizeni Mhe. Husein Bashe

Kisha msikilize Mhe. Tundu Lissu anasema nini kuhusu utekaji na utesaji wa TISS, hao anaowatetea ndio wenye bahati who could live to tell, hivyo ndio waliosalimika, only God knows kwa wale wasio na bahati hatima yao ilikuwaje because they couldn't live to tell!.
Naweka baadhi ya michango hapa

Mchambuzi, Mkuu Mchambuzi
thanks very much for this, its very objective naona kama umemaliza kila kitu!.

It's true kuna lots of details nime avoid kutokana na uzalendo, pia nimemtaja Mzee wangu tuu kwa sababu alihusika direct, lakini sikumtaja mama yangu ambaye she is still alive and retired (hawaritayi kabisa) wala sikusema kuwa hata mimi almanusura!. Anyway haya tuyaache.

Although mhusika mkuu hataisoma kutokana na lingua uliyotumia, wahusika wenyewe wamesoma, na wamesikia labda waendelee tuu kutia pamba masikioni kwa sababu kujadili jambo lolote kuhusu TISS was considered a taboo hivyo bandiko hili kwa TISS ni kama abomination!.
Thanks again.
Paskali
Bandiko hili la Mkuu Return Of Undertaker Lissu: Tuna vithibitisho na mashahidi wa utekaji toka serikalini, mawaziri mnaogopa nini? ni uthibitisho wa tuhuma hizi uliotolewa Bungeni

Mkuu the Return Of Undertaker, thanks for this. Nikichangia uzi huu wa Undertaker, ndipo nilipo eleza madudu ya ajabu ya TISS ya enzi hizo
Kuna huyu mchangiaji ametoa hoja ya msingi sana

Mkuu Grand Puba, nilichosema ni
1. TISS sio malaika, huko nyuma waliwahi kuteka, kutesa na kuua, Nyerere alikasirika hivyo wahusika walitumuliwa kazi, walishitakiwa na walifungwa.

2. Imeelezwa wale makirikiri wa Bashite ni Tiss, hakuna aliyekanusha!.

3. Imeelezwa yule mpuuzi aliyemtolea Nape Bastola ni TISS, hakuna aliyekanusha!.

4. Hivyo kwa kutumia precedence ya TISS huko nyuma kuna justify kuwa kuna uwezekano ikawa ni kweli TISS is behind huu uovu na uchafu unaozungumziwa Bungeni.

5. Pia inawezekana sio TISS as TISS bali ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu.

6. Inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kumbe ni just impostors kuchafua TISS wetu waadilifu, whichever the case, TISS ijitokeze iwakane na kurudisha imani na TISS wetu.

Kama haya yanazumzwa Bungeni then TISS ama ijitokeze kukanusha au ijisafishe kwa safisha safisha.
Paskali

Advocate, Saizi wameongezewa na sheria kabisa,
Wamepewa meno
 
Tatizo ina UVCCM wengi, na akili za UVCCM zinajulikana zinatosha kuvukia barabara tu.
🤣😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣
 
Takukuru ni tume, sio jeshi!.
P
Hahahahhaja walitambuliwa na marekebisho fulani wanapata stahiki zooteza majeshi....mafunzo yao yameboreshwa sasà yapo ccp Moshi badala ya hotel za kitalii....wakufunzi ni polisi pure wale wale ...bado force number tu mengine sawa .....ila kama bado tume basi sawa.....kama tume ya Kip3nka ? Hahahahha
 
Back
Top Bottom