TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Andiko zuri ila kwa maoni yangu popote pasipo na uadilifu kila jambo la hovyo na la kidhalimu linawezekana.Hao TISS sio malaika.Ni watu. Lakini ajabu zaidi matukio yote ya kidhalimu wakubwa wapo kimya.Hii ni ishara tosha wanajua kinachoendelea.
 
Takukuru hulitambui ? Nawaona hapo next room wamenuna...
 
Idara imekuwa ya kijinga sana inateua watu kijinga mno na inaingiza watu wa hovyo mno. Idara imekufa imebaki nayo kuibia Taifa.
 
Advocate, jiulize kwanini Kikwete aliishia njiani na katiba mpya ingawa alikuwa na lengo zuri??? Najua majibu unayo maana uwezo wa kupata "Classified information " unao.
Then njoo kwenye katiba+sheria ya uchaguzi.
U'll get the point
 
Advocate, jiulize kwanini Kikwete aliishia njiani na katiba mpya ingawa alikuwa na lengo zuri???
JK hakuishia njiani, time was not enough, wakaliweka kwenye ilani, wakamkabidhi yule Mwamba!.

Mwamba aliposema katiba mpya sio kipaumbele changu, hawa majamaa walimpigia makofi, mimi angalau niliandika kuuliza Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta? amini usiamini, yule Mwamba, jf alikuwa anaingia mwenyewe in person, hoja hiyo ilimgusa!.

Ilani iliofuatia ya 2020-2025, katiba mpya iliondolewa, ila amini usiamini, ile sauti iliniambia Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya! ila ndio hivyo tena, the accumulation ya bad karma, ilavuka viwango, mambo yakawa ndio kama vile, karma ikala kichwa!
Najua majibu unayo maana uwezo wa kupata "Classified information " unao.
Asante kwa imani yako kwangu kuwa nina uwezo wa kupata classified info, kiukweli sina uwezo huo, wala the access, ila kwa vile nina damu yao kwenye veins zangu, mimi pia huwa napata classified by voices from within, mfano mgombea wa CCM 2025 sikupewa jina ila nilielezwa tuu jinsia yake hapa kwenye sauti HII
Then njoo kwenye katiba+sheria ya uchaguzi.
U'll get the point
Hapa naomba unisaidie!
P
 
Nimekupa "important Hints" mengine utajiongeza mwenyewe, na uzuri wewe ni Senior +Advocate.
So, I Haven't any doubt
 
Advocate, Saizi wameongezewa na sheria kabisa,
Wamepewa meno
 
Tatizo ina UVCCM wengi, na akili za UVCCM zinajulikana zinatosha kuvukia barabara tu.
πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Takukuru ni tume, sio jeshi!.
P
Hahahahhaja walitambuliwa na marekebisho fulani wanapata stahiki zooteza majeshi....mafunzo yao yameboreshwa sasΓ  yapo ccp Moshi badala ya hotel za kitalii....wakufunzi ni polisi pure wale wale ...bado force number tu mengine sawa .....ila kama bado tume basi sawa.....kama tume ya Kip3nka ? Hahahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…