Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kuna video/clip ikimuonyesha kiongozi mmoja mkubwa akidai kuwa ana file Mirembe na kuonya anaowaongoza wasimcheze bila shaka akimanisha yeye mgonjwa wa akili hivyo anaweza fanya lolote(sijui kama alikuwa anatania ila kaonekana kuongea serious).
Lakini pia tukumbuke ni mtu huyu huyu aliwahi mtandika mtu bakora mpaka akazirai hivyo kauli yake hii ni wazi inashabihiana na matendo yake kwahiyo huenda hatanii.
Binafsi nashindwa kuamini macho na masikio yangu kuhusu hiyo clip maana hata kama ni utani, huu utani naona sio wa kuupuuza hasa kuzingatia kauli na matendo mbalimbali ya muhusika.
Hivyo, natoa wito kwa TISS kuchunguza clip hiyo (just kujiridhisha tu) then wafuatile Mirembe kama kweli ana file na kama analo kweli,basi mzishauri mamlaka husika zichukue hatua asipewe nafasi tena hata ya kuwa mwenyekiti wa mtaa katika mtaa anaotako huko kijijini kwao.
Tusirudie kumpa nafasi kubwa kama hii aliyonayo sasa maana ni hatari sana.