TISS mmenda Mirembe kuchunguza kama kweli huyu mtu ana file Mirembe

TISS mmenda Mirembe kuchunguza kama kweli huyu mtu ana file Mirembe

Huyo Ndugai asubirie tu baada ya October, hatuwezi kuwa na wagonjwa Bungeni tena wakiwa viongozi. Labda wananchi wake wamchague.

Lakini wajue pia watafanya uchaguzi tena.
 
Hakuna mwenye ubavu wa kuhoji mambo yaliyoongelewa bungeni hata TISS HAWAWEZI wana kinga ya bunge

Hata wakivurumishiana mitusi maadamu wanatukanana bungeni ni ya kwao huko huko.Mleta mada hayo hayahusu nje ni yao.Ingekuwa kila tamko la bungeni mtu anadakwa WABUNGE wa CHADEMA wote saa hii wangekuwa jela
Acha kuwa kilaza!Umeshindwa kuelewa hata hoja nyepesi kama hii!!! Kumchunguza kimyakimya kuna husiana nini na kuingilia mambo ya Bunge? Unafikiri TISS wanafanya kazi kama Polisi au TAKUKURU kwa kumuita na kumuhoji? Bahati mbaya hata TISS yenyewe imekuwa ni kama tawi la chama fulani cha siasa.
 
Hakuna mwenye ubavu wa kuhoji mambo yaliyoongelewa bungeni hata TISS HAWAWEZI wana kinga ya bunge

Hata wakivurumishiana mitusi maadamu wanatukanana bungeni ni ya kwao huko huko.Mleta mada hayo hayahusu nje ni yao.Ingekuwa kila tamko la bungeni mtu anadakwa WABUNGE wa CHADEMA wote saa hii wangekuwa jela
[emoji115]Taahira ktk ubora wako
 
Dawa ya moto ni moto chadema si mnajifanya wendawazimu HAMNA AKILI TIMAMU NA WEHU

Subirini october CCM HATUCHEZEWI
Kamwambieni 'baba' atumie hata vifaru vya jeshi, itawasadia tu kuzidi kujikusanyia wasaka tonge.
Lakini kamwe haitowawezesha kuleta mvuto kwa wananchi kwani hilo sio hitaji lao.
 
Back
Top Bottom