TISS na CCM Party Comrades tumieni kesi ya Mbeya kuokoa Umoja wetu, na Muungano wetu, kuilinda CCM. FUTA IGA

Umetoa Ushauri Mzuri,ila kwenye siasa kuomba msamaha ni kujimaliza,,
Ndio maana ya option hii niliyo shauri. Inakiondoa chama kwenye uwezekano wa kuomba msamaha. Mfano, Chongolo kama katibu mkuu hakuwa na option ya kutoutetea. Mzee kinana kwa nafasi yake na uwezo mkubwa wa propaganda ameanza kutafuta mlango wa kutokea.
 
Una hoja fikirishi
 
Mbona sijasikia mkataba ukipekuliwa na vyombo vyetu vya kiuchunguzi PT na PCCB? Ndo shida ya vyombo kukosa Uhuru wa kufanya kazi zake.
 
Mbona sijasikia mkataba ukipekuliwa na vyombo vyetu vya kiuchunguzi PT na PCCB? Ndo shida ya vyombo kukosa Uhuru wa kufanya kazi zake.
Haviko huru. Lazima viagizwe. Nadhani umesikia mara nyingi PM akiwatuma kazi majukwaani. Na pia umeona na kusikia Rais akiwatukana mara kadhaa kwa kushindwa kufanya kazi. Lkn kama tunataka maendeleo basi viwe huru hivi vyombo
 
Sahihi mkuu coz kiuhalisia vimebanwa maana madudu yao viongozi ndo yanaleta shida kila Leo hapo majukwaani ni kujikosha tu watu kupigwa dizaini ya mbuzi wa kafara
 
TISS, military intelligence, zote zimelala usingizi wa pono,kote huko mijitu inawaza ki ccm ccm tu, bado inaamini chama chenye hatimiriki ya nchi ni ccm,
Kule kuna mabogas, yanayojua kupiga deals tu za mashamba, apartments, wizi, nk
Hazijalala hizi, TISS na MI wapo macho, shida ni sheria inayowaongoza labda kama unataka wafanye uasi
 
Tatizo mahakama yetu haiko huru katika maamuzi yake, mpaka hapo naona mahakama itatoa maamuzi ya kulinda aibu ya mama,Kumbukeni kama mahakama itabatilisha huu mkataba basi itaharibu kabisa msitakabari wa CCM mwaka 2025 so kwa vyovyote vile mahakama itatoa uamuzi wa kulinda kiti.
 
TISS, military intelligence, zote zimelala usingizi wa pono,kote huko mijitu inawaza ki ccm ccm tu, bado inaamini chama chenye hatimiriki ya nchi ni ccm,
Kule kuna mabogas, yanayojua kupiga deals tu za mashamba, apartments, wizi, nk
Kwa mambo ya hovyo yanayotokea Tz,mie pia huwa naamini hivi.Otherwise huwezi kuwa na taasisi imara za usalama zikaruhusu nchi kuingia mkataba wa hovyo kama huu
 
Hazijalala hizi, TISS na MI wapo macho, shida ni sheria inayowaongoza labda kama unataka wafanye uasi
Sahihi kabisa umenena amendments muhimu labda tusubiri mchakato wa katiba mpya nilisikia kitu kama mwezi Agost 2023 mambo yanaanza
 
Hii kesi majaji wakijichanganya wakahukumu kiCCM CCM watakuwa wametengeneza precedent moja hatari sana kwa uhuru wetu na sovereignty kwetu. Maana hukumu hiyo itarahisisha mikataba ya kijinga kama hiyo huko mbeleni maana hiyo hukumu itageuka refenence!, na pia inaweza kuhalalisha Upokwaji wa sovereignty yetu huko mbeleni.
Yaani ili kunusuru Sovereignty ya nchi ni bora hiyo hukumu iitose CCM na Samia lakini Taifa libakishiwe Sovereignty yake!
 
Wameponzwa na viherehere vyao..JK
Wanawake wana viherehere, viherehere vya aimas na ailut vimeiponza nchi.
Mahakama ikibatilisha mkataba tunashtakiwa, kabla ya 2025 hukumu itakuwa ishatoka. Hilo litakuwa tusi kwa Samoa.

Mahakama ikiubariki inakuwa imejitukanisha na kushusha hadhi yake. Lakini itakuwa imechochea uasi na mapambano ya kudai Tanganyika kwa nguvu ya umma. 2025 tunaweza tusifike salama
 
Sawa, lkn kwenye Democracia ya Ujamaa wa Kisasa tunahitaji kuona kuwa tuna Taasisi Imara. Na ni katika mambo kama haya.
Ujamaa na taasisi imara havikai pamoja.
 
TISS, military intelligence, zote zimelala usingizi wa pono,kote huko mijitu inawaza ki ccm ccm tu, bado inaamini chama chenye hatimiriki ya nchi ni ccm,
Kule kuna mabogas, yanayojua kupiga deals tu za mashamba, apartments, wizi, nk
Kifupi taasisi imajaa machawa wa ccm
 
IGA haiwezi kufanyiwa mabadiliko, kwa sababu ishapitishwa na bunge.

Ukifanya mabadiliko, DPW anakupeleka kwenye arbitration unapigwa faini.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kimaandishi tupo hivyo, ila kiuhalisia ni nchi ya chama kimoja (Ccm), chini ya demokrasia mfu.
Unajua hata wanaotuongoza hawajui wanatumia nadharia au itikadi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…