MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Idara zaidi ya nne.Mkuu idara ziwe ngapi? Ilihali hivyo ulivyo taja ni vitengo ndani ya hiyo idara hiyo 1
Kingine PSU iweje wakubali Rais kutembea na msafara mrefu?
Rais wa Marekani msafara wake sio mrefu kama wa Rais wa nchi omba omba
Nani mpumbavu kati yenu?We mjinga.
Uwongo.Kingine PSU iweje wakubali Rais kutembea na msafara mrefu?
Rais wa Marekani msafara wake sio mrefu kama wa Rais wa nchi omba omba
We unamchango gani kwa taifa hili zaidi ya kulalamika?.
TISS ni ya CCM sio Tanzania. Ndio maana mtu anakopa benki tano tofauti kwa dhamana feki na hajulikani. Tanzania hamna TISS.
Daima ukosoaji ni kazi rahisi sana ambayo hata mtu dhaifu anaweza kuifanya.pia ww kutokuona kazi/umuhimu wa wale unaowaita "Vidada" haimaanishi huo umuhimu haupo ni vile tu either hujui ila unataka kuonekana mjuaji au ni vile tu hujui alafu hujui kama hujui. ACHENI UJUVI MWINGI MNAHISI MNA AKILI NYINGI KULIKO TAASISI AMBAZO ZIMEWEZA KUSIMAMA KUANZIA WW HAUJAJUA KUANDIKA MPAKA LEO UMEKUA KEYBOARD WORRIOR.
Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app
Usiwape sifa hawa. Hawana ujuvi wewote zaidi ya Kukejeli na Kuleta dhihaka dhidi ya Mwafrika.Daima ukosoaji ni kazi rahisi sana ambayo hata mtu dhaifu anaweza kuifanya.pia ww kutokuona kazi/umuhimu wa wale unaowaita "Vidada" haimaanishi huo umuhimu haupo ni vile tu either hujui ila unataka kuonekana mjuaji au ni vile tu hujui alafu hujui kama hujui. ACHENI UJUVI MWINGI MNAHISI MNA AKILI NYINGI KULIKO TAASISI AMBAZO ZIMEWEZA KUSIMAMA KUANZIA WW HAUJAJUA KUANDIKA MPAKA LEO UMEKUA KEYBOARD WORRIOR.
Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app
Kazi yao kubwa ni kusaidia kuiba kama ripoti ya CAG inavyotoa uozo.Juzi hapa FSB wamekamata watu kwa tuhuma za uhujumu wa nchi.
TISS wao haijulikana wanafanya kazi gani
Wapo wapo tu.
Wakivaa yale mabunduki wanajiona watu mno
Atakuwa katokea mwanza labda.Unapoona hotel ina vyumba Presidential suite ndio kazi yake hiyo.
Mtiss anahisi Kawa offended.Hizo nchi ambazo mnadai tujifunze kwao, kila siku wanaibiwa, watu wanakufa kama kuku mbonabhao tiss wao hawafanyi kazi? Hakuna tiss huko?
Crypto chini
Bunge kuvamiwa chini
Kuna mijitu imeiba fedha za korona huko sio mchezo
Tiss wao walikuwa wapi?
Tusidanganyane
Ukizunguka zunguka mnaona haya ni matuhuma yasiyo na mshiko. Ni kejeli na dhihaka tu.
Umeona ehhh!Mtiss anahisi Kawa offended.
Na kuchafua watu na kudhalilisha na kuwafedheheshaKazi kuu wanayoweza ni umbea.
DuhHahahhhaaahahhh TISS hawa watoto wa vigogo!! TISS hawa wanaolinda na kushiriki kuiba kura ili CCM ibaki madarakani ama TISS hawa walioshiriki kuiba hela za EPA! Kifupi TISS hii inabidi ifumuliwe yote. Na vijana wengi wa TISS wana UKWASI wa kutisha tofauti na zamani ambapo vichaa wengi walionekana USALAMA. Mtafute Dkt. Slaa anamajibu ya TISS.
Over to you 🤣🤣🤣🤣🤣 MTissUmeona ehhh!
Umekosea tu unaposema nahisi.
Wajibie na hoja basi badala ya kuendeleza kejeli na dhihaka, au uendelee kubwaka
Aluta Continua.