hilo jengo serikali inabidi ilinunue tu na hamna ujanja tena.
Haya ndiyo maendeleo Jk anayoyataka
Kwa taarifa yako hata wale wauza Samaria pale Ferry ya magogoni ni Tiss, na soko pale lipo kimkakati zaidi.mkuu nisaidie kwani TISS wanashughurikia ujenzi wa majumba au ulinzi na usalama wa taifa hili.
Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilizuiwa na TISS kujenga kitega uchumi maeneo hayohayo na kuamriwa wakajenge kwingine (next na Avalon house). Ni jukumu la TISS kuhakikisha usalama wa Ikulu
mimi kunakitu sijaelewa kwani TISS inahusikaje na majengo huyu jamaa kachanganyikiwa kweli.
Wakili she vijana hawa ambao badala ya kutaka kujifunza wao ni ubishi tu bila sababu.Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilizuiwa na TISS kujenga kitega uchumi maeneo hayohayo na kuamriwa wakajenge kwingine (next na Avalon house). Ni jukumu la TISS kuhakikisha usalama wa Ikulu
Na Happiness Katabazi
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA,) Togolai Kimweri anayekabiliwa na mashtaka matano ya matumizi mabaya ya ofisi na mwenzake, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama Taifa (TISS) Rashid Othman, Ikulu waliliridhia kwa maandishi ujenzi wa ghorofa 18 wa jengo linalotazamana na Ikulu.
Kimweri alitoa Maelezo hayo jana mbele ya hakimu Mkazi, Sundi Fimbo wakati alipokukua akiongozwa na Wakili Richard
Rweyongeza na Henri Masaba kutoa utetezi wake ambapo alieleza kuwa ni Idara hiyo ya Usalama wa Taifa (TISS) iliiomba TBA iwapatie ghorofa kwa ajili ya ofisi ya TISS.
Kwa taarifa yako hata wale wauza Samaria pale Ferry ya magogoni ni Tiss, na soko pale lipo kimkakati zaidi.
kuhusu swali lako, wao wanahusika na mfano rahisi ukienda Dodoma kwenye jengo l Bunge kuna hoteli inaitwa 56 imepakAna na Bunge , mbona Tiss wamemfunga camera kwenye hoteli binafsi ya mtu? Jibu usalama .
ikulu huwezi ruhusu ujenzi wa jengo kama hilo hata siku moja , ni hatari kwa usalama wa Rais na wageni wake wote wawapo ikulu
ushahidi wa hicho ulichoandika uko wapi? Mwanzo nilikuwa nakukubali sana kwa tabia yako ya kutoa hoja kwa ushahidi iwe kwa picha au maneno. Sasa kimekusibu nini? Najua tunatofautiana kiitikadi za kisiasa lakini unapofanya vizuri unastahili pongezitaasisi ya mwalimu nyerere ilizuiwa na tiss kujenga kitega uchumi maeneo hayohayo na kuamriwa wakajenge kwingine (next na avalon house). Ni jukumu la tiss kuhakikisha usalama wa ikulu
kwani tiss ni idara ya majengo na ujenzi? bado hamjanipa jibu.
wakili she vijana hawa ambao badala ya kutaka kujifunza wao ni ubishi tu bila sababu.
Mkuu sasa huu uongo tiss nakuuza samaki tena aaaaa! Huu ni uongo sasa hebu jenga hoja ueleweke.Kwa taarifa yako hata wale wauza Samaria pale Ferry ya magogoni ni Tiss, na soko pale lipo kimkakati zaidi.
kuhusu swali lako, wao wanahusika na mfano rahisi ukienda Dodoma kwenye jengo l Bunge kuna hoteli inaitwa 56 imepakAna na Bunge , mbona Tiss wamemfunga camera kwenye hoteli binafsi ya mtu? Jibu usalama .
ikulu huwezi ruhusu ujenzi wa jengo kama hilo hata siku moja , ni hatari kwa usalama wa Rais na wageni wake wote wawapo ikulu
Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilizuiwa na TISS kujenga kitega uchumi maeneo hayohayo na kuamriwa wakajenge kwingine (next na Avalon house). Ni jukumu la TISS kuhakikisha usalama wa Ikulu
Haiko moja , wewe nenda tu utaziona ......ni kuzuia Snippers kapanda chumba cha ghorofa ni na kushambulia ama mbunge au yeyote mle Bungeni , na hizo camera ni 24 hrs Surveillance .......kama unakumbuka skendo ya dr.slaa kuwekewa vinyasa sauti chumbani , camera hizo ndio zilimnasa mahusiano , ila kwa kuwa alikuwa ametumwa kikazi ,,,,,,,hiyo camera mkuu ipo upande gani pale domu kwenye hiyo hotel ili nikienda dom nikapige chabo niione.
Sijui ueleweshweje? Hivi "snipper" akipanda juu kabisa ya ghorofa hilo si anamuona Rais akiwa Ikulu na kumdungua kirahisi? Hapo bado hujaona umuhimu wa TISS kuratibu majengo marefu yanayo zunguka ikulu?
Ukizoea hatua chache mbele ya hilo jengo unakutuma na fensi ya Ikulu, ambayo na WAMA IMO ndani ....mbona sioni likitizamana na ikulu...kwani ikulu iko wapi?
ushahidi wa hicho ulichoandika uko wapi? Mwanzo nilikuwa nakukubali sana kwa tabia yako ya kutoa hoja kwa ushahidi iwe kwa picha au maneno. Sasa kimekusibu nini? Najua tunatofautiana kiitikadi za kisiasa lakini unapofanya vizuri unastahili pongezi
State House Objection:
However, for security reasons the State House raised an objection to the construction of a 20 storey building on plot Nos. 60 and 61, which were in the "Security Zone". The Ilala Municipal Council issued a permit for a six storey building instead of a 20 storey building. The State House promises to find an alternative plot for the Foundation for its 20 storey building.
Following a meeting On 17th July, 2010 at the State House to discuss plot No. 2217/1/168 as an alternative site for the Foundation, it was agreed that the City Council should surrender plot No. 2217/1/168 so that it may be reallocated to the Foundation.
The Chief Secretary communicated Government decision to the Permanent Secretary, Ministry of Lands, Housing and Human Settlement that it has been decided that the Mwalimu Nyerere Foundation has been allocated plot No. 2217/1/168 which is owned by the City Council and that the City Council should be allocated plot Nos. 60 and 61 held by the Foundation. To facilitate the transaction both the City Council and the Foundation surrendered their title deeds.