TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

Hili ni jengo refu ,linaitazama Ikulu kwa chini, Tiss wanawajibu wa kufanya surveillance kwa kila jambo karibu na Ikulu. Ningeshangaa kama Tiss was ingekuwa wamehusika

does surveillance has to do with kutoa vibali???
 
ushahidi wa hicho ulichoandika uko wapi? Mwanzo nilikuwa nakukubali sana kwa tabia yako ya kutoa hoja kwa ushahidi iwe kwa picha au maneno. Sasa kimekusibu nini? Najua tunatofautiana kiitikadi za kisiasa lakini unapofanya vizuri unastahili pongezi

Anasema ukweli mkuu, taasisi ikapewa kiwanja cha jj pale ilipokua uhamiaji na kiwanja chao wakapewa jiji, serikali ikakichukua toka jiji na kuwapa wachina wajenge ubaloz wao.
 
Hili ni jengo refu ,linaitazama Ikulu kwa chini, Tiss wanawajibu wa kufanya surveillance kwa kila jambo karibu na Ikulu. Ningeshangaa kama Tiss was ingekuwa wamehusika

Hadi limekamilika kwa ujenzi TISS nao walikua wapi?Hadi waje CIA na FBI katika ziara ya Obama ndio watoe lecture?

I feel ashamed.Utadhani uzembe huo wa kitaaluma nimeufanya mimi
 
Kwani TISS ndo wanatoa vibali vya ujenzi? acheni jamani kuleta propaganda kwenye mambo ya msingi.
Kwa mazingira ya ujenzi wa majengo makubwa katika maeneo yanayozunguka makao ya serikali (ikulu) yaweza kuwa TISS waliombwa kushirikishwa,
 
Mimi sina itikadi bali siikubali CCM na mambo yake yote! Ushahidi huu hapa.........usome vizuri kabla ya kulipuka!

Source: http://www.nyererefoundation.org/sites/downloads/The-Mwalimu-Nyerere-Foundation-Building-Project.pdf

Kwa ushahidi wako huu, ni wazi kuwa ni TISS ndio waliotoa ushauri mpaka jengo hilo la ghorofa 20 likazuiwa na badala yake wahusika wakapewa kiwanja kingine. Swali la kujiuliza, iweje hawa jamaa wapewe kibali cha kujenga ghorofa 15 wao wakaextend hadi 18? ushahidi wao kuwa TISS na IKULU walibariki unatia shaka
 
Kwa mazingira ya ujenzi wa majengo makubwa katika maeneo yanayozunguka makao ya serikali (ikulu) yaweza kuwa TISS waliombwa kushirikishwa,

Mkuu, kama wangeshirikishwa, hawa jamaa wasingefikishwa mahakamani kwa rushwa. kwani TISS na TAKUKURU wote bosi wao ni Rais
 
long namber hapo.... mbaka linaisha walikua hawaoni
 
Kwa mujibu wa Sheria ya ujenzi wa majengo, majengo marefu mengi maeneo ya Posta yamekiuka kanuni hiyo.

Sheria inaruhusu urefu mfupi(idadi ya ghorofa nimesahau ila nakumbuka si zaidi ya 10) kwa maeneo yale yaliyo karibu na bahari (nimesahau kidogo ni umbali kiasi gani toka ufukwe).

Majengo kama Uhuru Heights, Viva Towers, PPF Tower, Golden Jubilee n.k yote yamejengwa kinyume na sheria. Hata hilo jengo karibu na Ikulu lipo katika mkumbo huo.

Taarifa hii nilipata kuisikia kutoka kwa jamaa wa Ofisi ya Wakala wa Majengo alipokuwa akihojiwa bila shaka na kina Kibonde wa Jahazi ya Clouds FM
 
Hadi limekamilika kwa ujenzi TISS nao walikua wapi?Hadi waje CIA na FBI katika ziara ya Obama ndio watoe lecture?

I feel ashamed.Utadhani uzembe huo wa kitaaluma nimeufanya mimi

Mkuu, kwa hapa Tanzania, imekuwa ni jambo la kawaida mtu kuzuiwa kufanya jambo fulani na akaendelea kulifanya. yaelekea pia hawa jamaa walipigwa stop wakati ujenzi unaendelea lakini wakajivunia kuwa wana vibali. kumbe ni vibali feki. sasa TAKUKURU ndo wakatufumbua macho kuwa hawa jamaa walitoa vibali bila ya kufuata taratibu
 
Kwa ushahidi wako huu, ni wazi kuwa ni TISS ndio waliotoa ushauri mpaka jengo hilo la ghorofa 20 likazuiwa na badala yake wahusika wakapewa kiwanja kingine. Swali la kujiuliza, iweje hawa jamaa wapewe kibali cha kujenga ghorofa 15 wao wakaextend hadi 18? ushahidi wao kuwa TISS na IKULU walibariki unatia shaka
Kwa taarifa yako ghorofa tatu za juu yaani 15-18 zimechukuliwa na Tiss .....kuna kitu kinaendelea .......tu ute subra kuna jambo kubwa ndani yake ......kwanza kuijua jinsi Kiwanja kilivyodhulumiwa toka kwa yule Prof.wa Mwalimu utatumika sana .
 
Kwa mazingira ya ujenzi wa majengo makubwa katika maeneo yanayozunguka makao ya serikali (ikulu) yaweza kuwa TISS waliombwa kushirikishwa,

tufike hatua sasa tupate uthibitisho tumuuombe mleta post au anayesema tiss kuhusika au kushirikishwa kwake atujuze zaidi maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Kwa ushahidi wako huu, ni wazi kuwa ni TISS ndio waliotoa ushauri mpaka jengo hilo la ghorofa 20 likazuiwa na badala yake wahusika wakapewa kiwanja kingine. Swali la kujiuliza, iweje hawa jamaa wapewe kibali cha kujenga ghorofa 15 wao wakaextend hadi 18? ushahidi wao kuwa TISS na IKULU walibariki unatia shaka

Chaburuma,
Kwa nini TISS hawakusimamisha ujenzi?
 
Hili ni jengo refu ,linaitazama Ikulu kwa chini, Tiss wanawajibu wa kufanya surveillance kwa kila jambo karibu na Ikulu. Ningeshangaa kama Tiss was ingekuwa wamehusika

Kama TISS wanatakiwa kufanya surveillance kwa kila jambo karibu na Ikulu kwanini hawakulisimamisha ujenzi jengo hilo wakati linaendelea kujengwa ghorofa za juu kuliko inavyoruhusiwa eneo hilo? Hawa wanaowekeza kwenye haya majumba makubwa ni watu wenye fedha chafu wanaotumia uwekezaji kwenye real estate kama njia ya KUSAFISHA HIZO FEDHA HIVYO HUHONGA FEDHA NYINGI ILI KUTIMIZA AZMA YAO!!! KIMWERI NA ARCHITECT WAKE WALIKULA MSHIKO HAPO; PAMOJA NA LUHANJO!!!!
 
hawa ndio waandishi makanjanja wanaotakiwa kutungiwa sheria zenye adhabu kali kabisa, kazi kuandika uongo na uzushi

Kwa hiyo kwa akili yako TISS haiwezi kuingilia kati na kushauri usimamishaji wa jengo lolote linalotishia usalama kama lile la Magogoni?No wonder badala ya kufundisha mmekua wapiga debe wa Gaidi,kama hujui majukumu ya Usalama wa Taifa hata huo u DC unaotafuta kwa hamu haukufahi
 
Hadi limekamilika kwa ujenzi TISS nao walikua wapi?Hadi waje CIA na FBI katika ziara ya Obama ndio watoe lecture?

I feel ashamed.Utadhani uzembe huo wa kitaaluma nimeufanya mimi
Tiss ni wakala wa majengo?
 
Back
Top Bottom