TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

Idara ya usalama inahusika na kila kitu kinachohusu usalama wa wananchi!
Hata ikitokea mlipuko wa gonjwa hatari kama ebola lazima kwa nchi inayoongozwa kwa weledi idara ya usalama ihusike ili kuchunguza kama kuna ugaidi uliohusika au la, wakati wana sayansi na madaktari wakikabiliana na virus na wagonjwa.
 
tiss ni wakandarasi? mbona mnadanganyana danganyana kihuni huni ivi? tiss wanaoingiaje kwenye tender na kubariki ujenzi.

Kiongozi km hujui kaa KIMYA! TISS wanafanya KZ nyingi ucdhani wanaishia kulinda CCM tu!
 
Suala hili halina tofauti na wale twiga waliokunjwa na kuwekwa kwenye ndege ya jeshi la Qatar!! Woooooote wanaohusika na usalama wanajifanya hawajui!! Labda mtueleze Mimiliki wa hili jengo ni nani na labda ni mchangiaji mzuri na anacheti cha uchangiaji katika juhudi za kutawala daima na milele!
 
ikulu.JPG
duh,huo mjengo wa hatari asee,kama vipi ikulu ndo ihame pale.
 
Tanzania Internal Security Services (TISS) Hawa jamaa walikuwa makini wakati wa Nyerere hasa baada ya kuonekana wana umuhimu kwa usalama wa nchi na rais baada ya Nyerere kunusurika kung'atuliwa bila ridhaa yake

Ila sasa, kutokana hakuna mapinduzi ya kama kipindi kile, kutokana Jeshi haliwezi kuasi kwa kuwa 'wanalelewa' vyema, hawa jamaa ndio wanaoratibu utesaji wa wanasiasa na wanahabari, hawa jamaa ndio wanaangalia 'intelijensia' na kuzuia maandamano na mikutano ya chadema kwa visingizio vya ugaidi, alshabaab nk,

Hawa jamaa practise yao kubwa kwa sasa ni Chadema,.
 
TISS walipigwa tunguri kitu kikaoteshwa.
 
mnapotaja TISS mjue na majukumu yake! TISS tangu lini ikafanya kazi za TBA au Idara ya Ujenzi ya Manispaa ya Ilala? kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe achene upotoshaji!
 
mnapotaja TISS mjue na majukumu yake! TISS tangu lini ikafanya kazi za TBA au Idara ya Ujenzi ya Manispaa ya Ilala? kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe achene upotoshaji!

Mkuu usiupotoshe umma,T ISS kazi yao kubwa ni usalama wa nchi hii,kujengwa kwa jengo hilo na wao bila kujua kuna tishia usalama na maisha ya Rais kwangu haingii akilini kbs,Hilo jengo hata lingeishia 15 lakini wao kama wao walitakiwa wajiridhishe kwanza,uwepo
Wa jengo na usalama wa ikulu.
 
Kwani TISS ndo wanatoa vibali vya ujenzi? acheni jamani kuleta propaganda kwenye mambo ya msingi.

nadhani ni kuhusu ile ishu ya jengo refu kuwa karibu na Ikulu ndio TISS walihitajika.
 
usalama utakuwa mdogo sana hapo, tatizo Ikulu ya bongo ni kama ubungo unaingia na kutoka wala amna shida!
 
TISS ya sasa is a big joke.Rashid Othman,Rama Ighondu?????????????ha ha ,Come on be serious
 
mnapotaja TISS mjue na majukumu yake! TISS tangu lini ikafanya kazi za TBA au Idara ya Ujenzi ya Manispaa ya Ilala? kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe achene upotoshaji!

Kuna watu wanajitia ujinga makusudi au kwa bahati mbaya, nijuavyo kitu chochote kinachohatarisha usalama wa nchi kama pale ikulu, tiss wanahusika moja kwa moja bila kujali ni ujenzi au kucheza lede tuu kama pale Lebanon ama popote Tanzania, sasa swali ni...... mjengo ule umemeaje pale Karibu na ikulu ikiwa kupita tuu kuanzia 12 usiku ni issue???????
 
tiss ni wakandarasi? mbona mnadanganyana danganyana kihuni huni ivi? tiss wanaoingiaje kwenye tender na kubariki ujenzi.

Tiss wanahusika na usalama wa Ikulu na lile jengo lilikuwa linatishia usalama wa Ikulu kwa hivyo ni lazima wahusishwe na kama wametoa go ahead basi mshtakiwa hana kosa
 
Back
Top Bottom