Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thamani ya viwanja namba 46 na 45 inazidi billion 9.? Wanatumia njia gani kukokotoa thamani ya kiwanja. Mbona bei ni kubwa sana.?
Hivi leo ukiitwa zuzu kwa mujibu wa ulichokiandika hapa utakataa? Nani ana wajibu wa kulinda ikulu? Hata kama si wajibu wao kutoa vibali vya majengo kwa hiyo tukubali kuwa mwehu yeyote akitoa kibali cha ujenzi ambao ujenzi wake utahatayarisha usalama wa ikulu tumwachie tu???????
Magufuli nenda liangalie hio ghorofa kama vipi livunje.
hapa kunamtu anataka kutolewa kafara,,,ngoja tuone mwisho wake nini??
haya mambo yakula pekeyako,,,,,mabaya sana....
Kiukweli hilo jengo sijui imekuaje mpaka limekamilika yani kiuhalisia na kiusalama haifai kabisa ghorofa refu hivo kuwa karibu na ikulu, ngoja tusubiri
Na kwa staili ya mentality za watawala wa Kitanzania huna haja ya kuchimba sana kumjua mmiliki halisi!Hili jengo ni la Fida Hussein sidhani kwamba hajachukua mkopo na hati ya hicho kiwanja
Ndio nasema pia kuna mtu Hakupewa chake ndio maana kaamua kukiwasha piaMkuu ni uonevu tu ndo ulitumika hapa, umeshajiuliza umbali kutoka BOT adi IKULU na umbali kutoka kule Aghakan ilipo hayo majengo adi IKULU wapi parefu?
Alikua anatafutwa mtu tu hapo, wao wangeomba matumizi ya hayo magorofa kuanzia 8 adi 15 waweze kuishi viongozi wa serikali basi
Kaka si umeshaambiwa hilo jengo limejengwa karibu na Makazi ya Rais (Ikulu) hivyo kuhatarisha usalama wa Rais na usalama wa nchi, ndo maana Tiss lazima wahusike kutoa kibali cha ujenzi wa majengo ya aina hiyo karibu na Ikulu sasa huyu jamaa kaeleza mahakamani kuwa Alipata kibali toka Tiss cha ujenzi wa jengo hilo sasa kachanganyikiwa vipi, msome content sio kukurupuka tu kureply bila kujua kwa undani kilichoandikwa.mimi kunakitu sijaelewa kwani TISS inahusikaje na majengo huyu jamaa kachanganyikiwa kweli.