TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

Thamani ya viwanja namba 46 na 45 inazidi billion 9.? Wanatumia njia gani kukokotoa thamani ya kiwanja. Mbona bei ni kubwa sana.?

Ata mimi nimeshangaa sana
Bei hiyo c unaenda America kufanya uwekezaji wa maana!
 
Hivi leo ukiitwa zuzu kwa mujibu wa ulichokiandika hapa utakataa? Nani ana wajibu wa kulinda ikulu? Hata kama si wajibu wao kutoa vibali vya majengo kwa hiyo tukubali kuwa mwehu yeyote akitoa kibali cha ujenzi ambao ujenzi wake utahatayarisha usalama wa ikulu tumwachie tu???????

Huyo ni Kilaza!
 
Magufuli nenda liangalie hio ghorofa kama vipi livunje.

Chama Kipya, umesoma utetezi wa washitakiwa mahakamani au umekurupuka na kuchangia bila kusoma kuanzia mwanzoni? Magufuli naye ni mhusika katika sakata hili kama washitakiwa walivyojieleza mahakamani. Yeye na Shukuru Kawambwa walijumuisha mradi huo katika bajeti zao za miaka hiyo, kwa hiyo kama ujenzi haukufuata taratibu au uligubikwa na rushwa wao pia ni wahusika wakuu. Washtakiwa wanakuambia kuwa wao walikuwa ni watendaji tuu katika wakala (TBA) na mradi wowote unapitishwa na bodi na wao ni utekelezaji tuu. Kwa maoni yangu kesi haina nguvu kwani wahusika wakuu waliopitisha mradi hawako mahakani.
 
Mnanikumbusha zamani sana, wakati wa JOHN F. KENNEDY.
 
Kama kimsingi mahali hapa hapastahili kujengwa jengo lenye ghorofa zaidi ya 6 basi itolewe amri lipunguzwe urefu lifikie hapo linapotakiwa kisheria. Bila kufanya hivi watakuwa wanawaonea hawa watu.

Amandla......
 
Kiukweli hilo jengo sijui imekuaje mpaka limekamilika yani kiuhalisia na kiusalama haifai kabisa ghorofa refu hivo kuwa karibu na ikulu, ngoja tusubiri
 
Kiukweli hilo jengo sijui imekuaje mpaka limekamilika yani kiuhalisia na kiusalama haifai kabisa ghorofa refu hivo kuwa karibu na ikulu, ngoja tusubiri

Mkuu ni uonevu tu ndo ulitumika hapa, umeshajiuliza umbali kutoka BOT adi IKULU na umbali kutoka kule Aghakan ilipo hayo majengo adi IKULU wapi parefu?
Alikua anatafutwa mtu tu hapo, wao wangeomba matumizi ya hayo magorofa kuanzia 8 adi 15 waweze kuishi viongozi wa serikali basi
 
Hili jengo lilipata baraka zote. Ujio wa Obama ndo ulihoji uwepo wake karibu na ikulu atakapofikia Obama
 
Hili jengo ni la Fida Hussein sidhani kwamba hajachukua mkopo na hati ya hicho kiwanja
Na kwa staili ya mentality za watawala wa Kitanzania huna haja ya kuchimba sana kumjua mmiliki halisi!
 
Mkuu ni uonevu tu ndo ulitumika hapa, umeshajiuliza umbali kutoka BOT adi IKULU na umbali kutoka kule Aghakan ilipo hayo majengo adi IKULU wapi parefu?
Alikua anatafutwa mtu tu hapo, wao wangeomba matumizi ya hayo magorofa kuanzia 8 adi 15 waweze kuishi viongozi wa serikali basi
Ndio nasema pia kuna mtu Hakupewa chake ndio maana kaamua kukiwasha pia
 
mimi kunakitu sijaelewa kwani TISS inahusikaje na majengo huyu jamaa kachanganyikiwa kweli.
Kaka si umeshaambiwa hilo jengo limejengwa karibu na Makazi ya Rais (Ikulu) hivyo kuhatarisha usalama wa Rais na usalama wa nchi, ndo maana Tiss lazima wahusike kutoa kibali cha ujenzi wa majengo ya aina hiyo karibu na Ikulu sasa huyu jamaa kaeleza mahakamani kuwa Alipata kibali toka Tiss cha ujenzi wa jengo hilo sasa kachanganyikiwa vipi, msome content sio kukurupuka tu kureply bila kujua kwa undani kilichoandikwa.
 
Mada inayohusu TISS huwa inajadiliwa muda mrefu sana. Na hii itachukuwa miaka mitatu au zaidi.....
 
Back
Top Bottom