TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

mimi kunakitu sijaelewa kwani TISS inahusikaje na majengo huyu jamaa kachanganyikiwa kweli.
Kama ungefahamu majukumu ya TISS usingeshangaa kwa TISS kutajwa hapa kwa taarifa yako na wenzako TISS NI KAMA OXYGEN HAKUNA WASIPOHUSIKA KIA KITU NI TISS kuanzia mchezo yote wamo, hospitali zote wamo, Bank zote wamo mitandao yote hata hapa JF wamo kampuni zote kubwa wamo kifupi wao ndiyo oksjeni ya Taifa.
 
tiss ni wakandarasi? mbona mnadanganyana danganyana kihuni huni ivi? tiss wanaoingiaje kwenye tender na kubariki ujenzi.
TISS wanahusika kwa maana hilo jengo ni refu na linatazamana na ikulu, kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa ikulu. Wahalifu wanaweza kulitumia kufanikisha mipango ya kihalifu wakiwa juu ya jengo hilo, mfano, wanaza mweka sniper juu ya jengo au hata kufunga camera kuelekea ikulu nk
 
Hivi kesi hii iliishaje? Suala hili ni moja ya mambo yanayodhihirisha udhaifu wa taasisi zetu muhimu, ufinyu wa uelewa wa watu wa mrengo flani, mambo makubwa na muhimu yanavyofunikwa na wenye mamlaka, nchi hii inavyouzwa na viongozi wanaotakiwa kuitete na kuilinda...nk, nk.
 
Bongo yaani mpaka raha! Mghorofa huo unaitazama ikulu. Ikitokea kama kwenye Dora the Explorer mambo ya Sniper Sniping....
 
Nashangaa sana Mkuu. Hivi kwenye mchakato wa kutoa vibali vya ujenzi, TISS inahusika?
Wanaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine, huwezi ukajenga ghorofa refu namna ile karibu na ikulu bila kuwashirikisha TISS
 
Huyo Msambaa muongo ameona aitaje TISS ili awachanganye waendesha mashtaka, mi naona waminyane tu TBA na Takukuru basi wanatosha
 
Kesi si iilisha na TISS c nackia izo flow za juu wamechukua wao
 
Back
Top Bottom