BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,346
Kama ungefahamu majukumu ya TISS usingeshangaa kwa TISS kutajwa hapa kwa taarifa yako na wenzako TISS NI KAMA OXYGEN HAKUNA WASIPOHUSIKA KIA KITU NI TISS kuanzia mchezo yote wamo, hospitali zote wamo, Bank zote wamo mitandao yote hata hapa JF wamo kampuni zote kubwa wamo kifupi wao ndiyo oksjeni ya Taifa.mimi kunakitu sijaelewa kwani TISS inahusikaje na majengo huyu jamaa kachanganyikiwa kweli.
TISS wanahusika kwa maana hilo jengo ni refu na linatazamana na ikulu, kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa ikulu. Wahalifu wanaweza kulitumia kufanikisha mipango ya kihalifu wakiwa juu ya jengo hilo, mfano, wanaza mweka sniper juu ya jengo au hata kufunga camera kuelekea ikulu nktiss ni wakandarasi? mbona mnadanganyana danganyana kihuni huni ivi? tiss wanaoingiaje kwenye tender na kubariki ujenzi.
Wanaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine, huwezi ukajenga ghorofa refu namna ile karibu na ikulu bila kuwashirikisha TISSNashangaa sana Mkuu. Hivi kwenye mchakato wa kutoa vibali vya ujenzi, TISS inahusika?