Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Ni vitabu vya kijaluo nini...?1. Dede ka chamo lum kucha
2. Akeyo konyo min moyo gwen chiemo
3. Atieno achach
4. Tugo kelo koko
5. Poko nyar migumba
6. Aprina kod mamoko
7. Sigendni moko ma'duogo chuny
8. Ogot kod Nyangeye
9. Akeyo olal echiro
Mifupa 206,hili jina nilipolisoma tu nikatabasam nikajiuliza kunanini kwenye hichi kitabu..? Ni kitabu kizuri sana by Kelvin mponda.
Mikononi mwa nunda!,nguli na mwandishi wangu pendwa ben mtobwa hajawahi niangusha ktk uandishi mzuri,makini na wenye lugha tamu!.
Najisikia kuua Tena by ben mtobwa
Vipepeo weusi by the bold a.k.a H.B ANGA. Ni kijina fulani ambacho kinatafakarisha!.
Hadley chase huyu bila ubishi. Jamaa ana tittle za kibabe sana
Song of LAWINO and song of OKOL