Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

Habari za wikiendi..

Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda.

Mimi napenda sana
Why men love bitches.
Manipulated man.

Tutarudi na roho zetu.
Tai kwenye mzoga.
Zubaa uzikwe.

Ongezea na zako zingine
Njama
 
Oparesheni Panama
Saa 72 za kufa na kupona
The other side of the Midnight
A season of waiting
Dunia uwanja wa fujo.
Simu ya kifo

Napenda sana hizi titles na contents za hivi vitabu pia
Saa 72 nakitamni Sana nikipata mda nitakitafuta
 
Mwenye soft copy kitabu cha "Mirathi ya Hatari" nakiomba tafadhali.
 
CHAOS MONKEY - by antonio garcia martinez. (watu wa it& software,nk)
 
1. Ng'inihale na Kalwino
2. Sungura na Mganga Kobe
3. Binti chura
4. Kipofu mwenye miwani mieusi
5. Kilema mwenye Kibiongo
6. Sokoni Kariakoo
7. Janga sugu la Wazawa
8. Rosa Mistika
9. Kalulu. The hare
10. Mabala the Farmer
Wapi vinapatikana hivi?
 
"Hata ukioga mjini huendi" Kwenye matokeo ya Sani.
 
Back
Top Bottom