Tetesi: Tito Magoti kutengenezewa kesi ya Utakatishaji pesa au Uhujumu uchumi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Yale yale ya Kabendera yanajirudia tena , hasa baada ya misheni ya kumteka kushtukiwa na kupigiwa kelele na wadau dunia nzima , sasa anaandaliwa mashitaka ya uzushi ili kumkomoa .

Taarifa zinadokeza kwamba hapa ndipo kigugumizi cha Mambosasa kinapoanzia , pamoja na ukweli wote wa njama hizi kuvuja lakini bado wanataka kutekeleza mpango wao , wananchi endeleeni kupiga kelele maana dunia yote iko nyuma yenu.

Shetani hajawahi kumshinda Mungu

UPDATES
..................

FB_IMG_1577187332591.jpg
 
Yupo kwenye mikono salama na watanzania siku hizi wanavunja sheria za nchi kisa haki za binadamu. Tunatakiwa kutii katiba yetu na sheria za nchi pia uhuru una mipaka yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania hatuvunji sheria za nchi, jiwe ameamua kwamba yeye mwenyewe ndiye mwenye sheria na kichwa chake ndiyo katiba ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale yale ya Kabendera yanajirudia tena , hasa baada ya misheni ya kumteka kushtukiwa na kupigiwa kelele na wadau dunia nzima , sasa anaandaliwa mashitaka ya uzushi ili kumkomoa .

Taarifa zinadokeza kwamba hapa ndipo kigugumizi cha Mambosasa kinapoanzia , pamoja na ukweli wote wa njama hizi kuvuja lakini bado wanataka kutekeleza mpango wao , wananchi endeleeni kupiga kelele maana dunia yote iko nyuma yenu.

Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Dah eti wamemkamata wakimuhisi ndiye Kigogo.
 
Kama ametakatisha acha yamkute na soon mbowe yanamkuta

.state agent
Yale yale ya Kabendera yanajirudia tena , hasa baada ya misheni ya kumteka kushtukiwa na kupigiwa kelele na wadau dunia nzima , sasa anaandaliwa mashitaka ya uzushi ili kumkomoa .

Taarifa zinadokeza kwamba hapa ndipo kigugumizi cha Mambosasa kinapoanzia , pamoja na ukweli wote wa njama hizi kuvuja lakini bado wanataka kutekeleza mpango wao , wananchi endeleeni kupiga kelele maana dunia yote iko nyuma yenu.

Shetani hajawahi kumshinda Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matendo ya aibu sana, kama kweli wabunge wa ccm ni wazalendo wa taifa hili hebu kwa wingi wao bungeni wapiganie hii sheria ya kosa la utakatishaji fedha iwe na dhamana, hapo wataeleweka na wengi, vinginevyo nao wapo kwa ajili ya matumbo yao na kulinda maslahi ya chama chao tu, hawamjali mtz wa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom