Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kuna malpractice of laws..?Yupo kwenye mikono salama na watanzania siku hizi wanavunja sheria za nchi kisa haki za binadamu. Tunatakiwa kutii katiba yetu na sheria za nchi pia uhuru una mipaka yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Udhaifu AML act/regulations sijaona ikitaja ni kiasi gani kinaweza chukuliwa ni utakatishaji.Sijaielewa maana ya kukatakatisha pesa mil 17. Kama ni kuanzia mill 100 hayo ningeelewa.
Sijui.
Ukipingana na serikali,hakikisha mikono yako ni misafi,watakupata tuNi aibu sana !
Hakuna dikteta yeyote duniani aliyebambikia kesi raia wake alibaki salama , fanya uchunguzi mwembambaUkipingana na serikali,hakikisha mikono yako ni misafi,watakupata tu
= halafuHawa watu ni watekaji wakubwa Kabendera wa watu mpk Leo anasota Ben saa nane hajulikani alipo .. Tundu Lissu ndiyo Huyo anaogopa kurudi.. Harafu viongozi kutwa wapo makanisani wanataka kuombewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua unamchukia Magufuli lakini hiyo haikupi haki ya kubadilisha historia. Je Stalin, Mao na Lenin? Hao ni true dictators siyo wakulazimisha kama wenu huyu na bado waliishi vizuri tu. Acha kuwa sentimental, deal na facts kwenye hoja zako.Hakuna dikteta yeyote duniani aliyebambikia kesi raia wake alibaki salama , fanya uchunguzi mwembamba
Huyo akili za kujibu swali hilo hana
Hukupaswa kabisa kumjibu swali lake maana sidhani kama ana uelewa hata kiduchu tu wa kuweza kuelewa hata jambo dogo la kimaantikikwani wote walotekwa wametekwa siku moja? subiri siku yako. hakuna aliye salama. hata mabwege hawasalimiki!
Yale yale ya Kabendera yanajirudia tena , hasa baada ya misheni ya kumteka kushtukiwa na kupigiwa kelele na wadau dunia nzima , sasa anaandaliwa mashitaka ya uzushi ili kumkomoa .
Taarifa zinadokeza kwamba hapa ndipo kigugumizi cha Mambosasa kinapoanzia , pamoja na ukweli wote wa njama hizi kuvuja lakini bado wanataka kutekeleza mpango wao , wananchi endeleeni kupiga kelele maana dunia yote iko nyuma yenu.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
UPDATES
..................
View attachment 1302314
Kifungu kipi kavunjaYupo kwenye mikono salama na watanzania siku hizi wanavunja sheria za nchi kisa haki za binadamu. Tunatakiwa kutii katiba yetu na sheria za nchi pia uhuru una mipaka yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
True kutekwa ni kwa zamu usipotekwa kimwili utatekwa kifikraHukupaswa kabisa kumjibu swali lake maana sidhani kama ana uelewa hata kiduchu tu wa kuweza kuelewa hata jambo dogo la kimaantiki
kunradhi. sitarudia!Hukupaswa kabisa kumjibu swali lake maana sidhani kama ana uelewa hata kiduchu tu wa kuweza kuelewa hata jambo dogo la kimaantiki