Tetesi: Tito Magoti kutengenezewa kesi ya Utakatishaji pesa au Uhujumu uchumi

Tetesi: Tito Magoti kutengenezewa kesi ya Utakatishaji pesa au Uhujumu uchumi

Lazima ifike pahala tukubali kuwa kumtukana aliye madarakani hata kama humpendi ni kama kuweka roho yako rehani. Kwanini utukane acha wapate kiboko chao! Povu ruksa
Hivyo ndivyo Katiba ya nchi inavyosema ?
 
Hawa watu ni watekaji wakubwa Kabendera wa watu mpk Leo anasota Ben saa nane hajulikani alipo .. Tundu Lissu ndiyo Huyo anaogopa kurudi.. Harafu viongozi kutwa wapo makanisani wanataka kuombewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu hayupo makanisani...Wala kwa viongozi wa dini... Anayemtafuta huko atahangaika sana!
 
Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu! Mtoto mdogo kila kukicha mitusi, segerea inawafaa

Na nyinyi mnafunzwa na nani! maana hamna tofauti yoyote ile na mashetani. Mnalazimishwa kupendwa na kuheshimiwa wakati stahili yenu pekee ni kudharauliwa, kutukanwa, kukejeliwa na kupuuzwa tu.

Mnafanya mambo ya kitoto, kishamba na kilimbukeni halafu mtegemee kuheshimiwa! Daima ataogopwa Mungu pekee na siyo mwanadamu ambaye ni udongo tu.

Hamna ubavu wa kuwanyamazisha wananchi wote, upinzani/kukosolewa ni kama mvua! Huwezi kuizuia kunyesha.
 
Uongozi siyo usela kama wa Manzese kwamba unaamua kufanya utakavyo ni lazima Katiba ifuatwe .
Achana na kukariri, katiba ipi inaruhusu kutukana ovyo, ulimbukeni wa kuanza kutumia smartphones kunawazuzua akina Tito, kiboko yake unaiona na bado sijui hata marinda- naishia hapo
 
Na nyinyi mnafunzwa na nani! maana hamna tofauti yoyote ile na mashetani. Mnalazimishwa kupendwa na kuheshimiwa wakati stahili yenu pekee ni kudharauliwa, kutukanwa, kukejeliwa na kupuuzwa tu.

Mnafanya mambo ya kitoto, kishamba na kilimbukeni halafu mtegemee kuheshimiwa! Daima ataogopwa Mungu pekee na siyo mwanadamu ambaye ni udongo tu.

Hamna ubavu wa kuwanyamazisha wananchi wote, upinzani/kukosolewa ni kama mvua! Huwezi kuizuia kunyesha.
Hakuna mtu anakatazwa kukosoa ila si kwa matusi! Poleni kiboko yenu hiyooo
 
Back
Top Bottom