Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni aibu sana !The expected! Na hiyo ndiyo itakavyokuwa
huko kwa mambosasa kuna ndugu zetu, lazima mambo ya leak! just wait for today or tommorrow!Usikariri bwashee!
Yupo kwenye mikono salama na watanzania siku hizi wanavunja sheria za nchi kisa haki za binadamu. Tunatakiwa kutii katiba yetu na sheria za nchi pia uhuru una mipaka yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania hatuvunji sheria za nchi, jiwe ameamua kwamba yeye mwenyewe ndiye mwenye sheria na kichwa chake ndiyo katiba ya nchiYupo kwenye mikono salama na watanzania siku hizi wanavunja sheria za nchi kisa haki za binadamu. Tunatakiwa kutii katiba yetu na sheria za nchi pia uhuru una mipaka yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii wanaoongoza kuvunja Sheria ni watawala hilo lipo waziYupo kwenye mikono salama na watanzania siku hizi wanavunja sheria za nchi kisa haki za binadamu. Tunatakiwa kutii katiba yetu na sheria za nchi pia uhuru una mipaka yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah eti wamemkamata wakimuhisi ndiye Kigogo.Yale yale ya Kabendera yanajirudia tena , hasa baada ya misheni ya kumteka kushtukiwa na kupigiwa kelele na wadau dunia nzima , sasa anaandaliwa mashitaka ya uzushi ili kumkomoa .
Taarifa zinadokeza kwamba hapa ndipo kigugumizi cha Mambosasa kinapoanzia , pamoja na ukweli wote wa njama hizi kuvuja lakini bado wanataka kutekeleza mpango wao , wananchi endeleeni kupiga kelele maana dunia yote iko nyuma yenu.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Kutetea maovu ni dalili za mtu aliye laaniwa!Wewe ni lijinga na liongo
Yale yale ya Kabendera yanajirudia tena , hasa baada ya misheni ya kumteka kushtukiwa na kupigiwa kelele na wadau dunia nzima , sasa anaandaliwa mashitaka ya uzushi ili kumkomoa .
Taarifa zinadokeza kwamba hapa ndipo kigugumizi cha Mambosasa kinapoanzia , pamoja na ukweli wote wa njama hizi kuvuja lakini bado wanataka kutekeleza mpango wao , wananchi endeleeni kupiga kelele maana dunia yote iko nyuma yenu.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Yaani serikali inayojiita imara inahaha na kuyumbishwa na mtu anayejiita kigogo?Dah eti wamemkamata wakimuhisi ndiye Kigogo.
Mbona wewe hujatekwa wala kukamatwa? Au pia Mimi haijanitojea hiyo?Hawa watu ni watekaji wakubwa Kabendera wa watu mpk Leo anasota Ben saa nane hajulikani alipo .. Tundu Lissu ndiyo Huyo anaogopa kurudi.. Harafu viongozi kutwa wapo makanisani wanataka kuombewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mzalendo uchwara wala hujakosea. Ili uamini kifo kipo ni mpaka ufe wewe kwanza.Mbona wewe hujatekwa wala kukamatwa? Au pia Mimi haijanitojea hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app