Tetesi: Tito Magoti kutengenezewa kesi ya Utakatishaji pesa au Uhujumu uchumi

Hakika watanzania tunahitaji ufunuo wa akili na utashi wa maamuzi yetu linapokuja swala la kumpata kiongozi aliye bora. Tunaona sasa hv nchi inaendeshwa kisela sana. Hakuna cha kuzingatia katiba wala nn. Mtu anavoamka ndivyo anavyopanga... Hakika watanzania tumechoka haya mambo..... We need justice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipingana na serikali,hakikisha mikono yako ni misafi,watakupata tu
Hakuna dikteta yeyote duniani aliyebambikia kesi raia wake alibaki salama , fanya uchunguzi mwembamba
 
Hakuna dikteta yeyote duniani aliyebambikia kesi raia wake alibaki salama , fanya uchunguzi mwembamba
Najua unamchukia Magufuli lakini hiyo haikupi haki ya kubadilisha historia. Je Stalin, Mao na Lenin? Hao ni true dictators siyo wakulazimisha kama wenu huyu na bado waliishi vizuri tu. Acha kuwa sentimental, deal na facts kwenye hoja zako.
 
kwani wote walotekwa wametekwa siku moja? subiri siku yako. hakuna aliye salama. hata mabwege hawasalimiki!
Hukupaswa kabisa kumjibu swali lake maana sidhani kama ana uelewa hata kiduchu tu wa kuweza kuelewa hata jambo dogo la kimaantiki
 
Prophecy confirmed
 
Hukupaswa kabisa kumjibu swali lake maana sidhani kama ana uelewa hata kiduchu tu wa kuweza kuelewa hata jambo dogo la kimaantiki
True kutekwa ni kwa zamu usipotekwa kimwili utatekwa kifikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…