Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Hii Serikali haioni aibu kabisa, yaani imefanya kile kile ambacho watu walikuwa wakitabiri itafanya?
Mbona hizi ni dharau kubwa sana kwa Watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Dharau kutakatisha pesa au kumtukana Waziri mwenye dhamana ya Elimu Tanzania na viongozi wote wa juu? Kumbukeni Serikali ina mkono mrefu. Serikali hii hii ambayo mnaiponda kila uchwao ina dhamana ya kuwaangalia Watanzania millioni 55 na ushee maisha yao yawe salama salimini na kuona haki inatendeka vinginevyo itakuwa vurugu.
 
serikali ya CCM inazidi kujichafua kimataifa kwa chuki za kijinga kwa wale wanaoikosoa serikali.
Nchi haiongozwi kwa mihemuko inaongozwa kwa sheria. Kidomodomo kimemponza, kwani unafikiri wote wasiondika ni wajinga? Hakuna chuki hapo angekuwa mama yako katukanwa vile wakati wewe unafahamu fika huyu kijana anapata pesa kwa njia za udanganyifu ungemwachia? Msiingize mambo ya kimataifa kwani huko kwao na wenyewe si wana sheria zao?
 
Unakijua unacholaumu na kulalamika?

Ukitaka kusoma habari kama hizi lazima kituo cha kwanza kiwe - Habari Mchanganyiko kule kwenye Siasa wamiliki wamepewa kura ya turufu ''Chadema wanajimwambafy.''
 
Wanaoandaa Hati za Mashtaka (Charge Sheet) wawe wanaandika majina yao kabisa na sio vyeo peke yake. Aandike jina lake kamili, saini na cheo chake ili tumfahahamu vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…