Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Bado hata mm najiuliza kuhusu hio program "DESIGNED TO COMMIT AN OFFENCE"
kwa ulewa wangu smart/brilliants mind hack into main stream applications mfano databases kuchota mafedha or kubadilisha popular vote. A program designed to commit offence is too vague a charge.
 
Hutaki kukosolewa wewe ni nani? malaika? Unafikiri hakun kiongozi bora zaidi yako? Mbn wako wengi tu huko CCM, tafadhali ondoka tuachie nchi yetu, UHURU, AMANI, KUVUMILIANA ni bora kuliko utajiri, SGR n upuuzi kam huo wa kutekana na kuoneana, simply not good enough
Watz wenzangu tena Wazalendo wa kweli kwa nchi yetu. " SASA IMETOSHA TUAMKENI TUIKOMBOE NCHI YETU MIKONONI MWA WANYANG'ANYI"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
Mmmh pole zao naona wamepauka kama walikuwa wanabeba majunia ya unga au cement.
 
Kwahiyo Moderators
@Mod Three
@Active
@Innovator
@Moderator
@Mod One

MMEKAA KABISA NA KUTAFAKARI NA KUKUBALIANA HII NI HABARI YA KULETW AHUKU " HABARI MCHANGANYIKO"

labda niwaulize tu?
Mnaficha nini?
hamtaki watu waone hayo mashtaka?
hivi hii haikuw ahabari ingepaswa kuw apinned kabisa juu kule?

Ushahuri:
Jichunguzeni na hasa huyu aliyeileta huku hii hakika nawaambieni sio mwenzetu JF.
JF Imetekwa hakika.
Unakijua unacholaumu na kulalamika?
 
kwa ulewa wangu smart/brilliants mind hack into main stream applications mfano databases kuchota mafedha or kubadilisha popular vote. A program designed to commit offence is too vague a charge.
Ilibidi wasem offence ipi hio. All in all Tanzania aint a place for techies
 
Back
Top Bottom