Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
serikali ya CCM inazidi kujichafua kimataifa kwa chuki za kijinga kwa wale wanaoikosoa serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini nakwambia Kuna watu siku roho zao zinatolewa watapata tabu mnooo..... Yaani mtoa roho ni anakwatukwatua tu mpaka afe kashateseka mnooo.... Wakiwemo hawa mbwa wanaojiona miungu mtu hapa chini ya juaHakuna kesi nyingine zaidi ya utakatishaji pesa na uhujumu uchumi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniita rafiki?
kwa ulewa wangu smart/brilliants mind hack into main stream applications mfano databases kuchota mafedha or kubadilisha popular vote. A program designed to commit offence is too vague a charge.Bado hata mm najiuliza kuhusu hio program "DESIGNED TO COMMIT AN OFFENCE"
Watz wenzangu tena Wazalendo wa kweli kwa nchi yetu. " SASA IMETOSHA TUAMKENI TUIKOMBOE NCHI YETU MIKONONI MWA WANYANG'ANYI"Hutaki kukosolewa wewe ni nani? malaika? Unafikiri hakun kiongozi bora zaidi yako? Mbn wako wengi tu huko CCM, tafadhali ondoka tuachie nchi yetu, UHURU, AMANI, KUVUMILIANA ni bora kuliko utajiri, SGR n upuuzi kam huo wa kutekana na kuoneana, simply not good enough
Bahati mbaya kidole kimepotoka nilitaka niwaite magwiji wa kutukana kama akina Erythrocyte et alUmeniita rafiki?
haaaaa 17th aisee hi sasa bado hela ya mboga au wamekuta na hela account ndo wanachomolea kisheriaWamempa kesi ya utakatishaji wa pesa milioni 17
Mmmh pole zao naona wamepauka kama walikuwa wanabeba majunia ya unga au cement.
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
unaweza kuniandikia matusi yoyote niliyowahi kuyaweka hapa jf ?Bahati mbaya kidole kimepotoka nilitaka niwaite magwiji wa kutukana kama akina Erythrocyte et al
Unakijua unacholaumu na kulalamika?Kwahiyo Moderators
@Mod Three
@Active
@Innovator
@Moderator
@Mod One
MMEKAA KABISA NA KUTAFAKARI NA KUKUBALIANA HII NI HABARI YA KULETW AHUKU " HABARI MCHANGANYIKO"
labda niwaulize tu?
Mnaficha nini?
hamtaki watu waone hayo mashtaka?
hivi hii haikuw ahabari ingepaswa kuw apinned kabisa juu kule?
Ushahuri:
Jichunguzeni na hasa huyu aliyeileta huku hii hakika nawaambieni sio mwenzetu JF.
JF Imetekwa hakika.
Mwacheni anamengi huyu Mzee , wewe umeshawahi finywa hata ukucha?hataki kutia neno! alikuwa msemaji mzuri, leo anasema duh! Pascal Mayalla
Ilibidi wasem offence ipi hio. All in all Tanzania aint a place for techieskwa ulewa wangu smart/brilliants mind hack into main stream applications mfano databases kuchota mafedha or kubadilisha popular vote. A program designed to commit offence is too vague a charge.
Sana na uchumi utapaa kama ndege ya boeng 737KWA HIYO HAWA VIJANA WAKIENDA JELA MAISHA YA WATANZANIA YATAKUWA MAZURI?
Foolish thoughts !KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wakabwabwaje huko GerezaniKWA HIYO HAWA VIJANA WAKIENDA JELA MAISHA YA WATANZANIA YATAKUWA MAZURI?
Wakabwabwaje huko Gerezani