Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Kosoa ubinywe mbupu... Tena unabinywa kwaajili ya hawa watanzania mambo leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosoa ubinywe mbupu... Tena unabinywa kwaajili ya hawa watanzania mambo leo?
Nakubaliana na wewe, sasa hivi bora uhangaike na familia yako uhakikishe wamepata maisha bora kwenye kila nyanja
Huyo Tito na wewe unaposhabikia unakuwa umeungana naye hiyo nayo inatakiwa uchapwe kiboko piaunaweza kuniandikia matusi yoyote niliyowahi kuyaweka hapa jf ?
Hii Serikali haioni aibu kabisa, yaani imefanya kile kile ambacho watu walikuwa wakitabiri itafanya?
Mbona hizi ni dharau kubwa sana kwa Watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaguna brother, 😁😁😁 hali ni tetet tuzidi kusali tuDuh!...
P
Uhujumu uchumiDuh!...
P
Tutakuwepo akina siye ukileta cha kuleta tunakula nawe sahani mojaNakubaliana na wewe, sasa hivi bora uhangaike na familia yako uhakikishe wamepata maisha bora kwenye kila nyanja
Tunajua yanaumiza ila muda utaongea
Kama watazikwa na hii nchi kwenye majeneza yao, basi tusubiri tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!...
P
Kwahiyo ukitukana ni sahihi kunabambikiwa money laundering
Hivi huyo Tito na mwenzake ni mapacha au macho yangu?Mwenye T-shirt nyekundu
Nchi haiongozwi kwa mihemuko inaongozwa kwa sheria. Kidomodomo kimemponza, kwani unafikiri wote wasiondika ni wajinga? Hakuna chuki hapo angekuwa mama yako katukanwa vile wakati wewe unafahamu fika huyu kijana anapata pesa kwa njia za udanganyifu ungemwachia? Msiingize mambo ya kimataifa kwani huko kwao na wenyewe si wana sheria zao?serikali ya CCM inazidi kujichafua kimataifa kwa chuki za kijinga kwa wale wanaoikosoa serikali.
Nenda kabomoe nyumba ya familia yenu.Watz wenzangu tena Wazalendo wa kweli kwa nchi yetu. " SASA IMETOSHA TUAMKENI TUIKOMBOE NCHI YETU MIKONONI MWA WANYANG'ANYI"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilibidi wasem offence ipi hio. All in all Tanzania aint a place for techies
Unakijua unacholaumu na kulalamika?
Wanaoandaa Hati za Mashtaka (Charge Sheet) wawe wanaandika majina yao kabisa na sio vyeo peke yake. Aandike jina lake kamili, saini na cheo chake ili tumfahahamu vyema.
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Nimeisoma kabla yako, we umekuja kuisoma wakati tayari mods wame hariri heading ukakurupuka kuni quote ukadhani nimeandika bila kusoma
Braza kama hujui sheria na makosa yanavyoandikwa si ukae kimya? Makosa yamewekwa wazi kwenye hati za mashitaka hapo wewe unamanga-manga tu kama kuku aliyekatwa kichwa! Why?Yaani ni Upuuzi mtupu kesi za KUBUMBABUMBA Possession of computer program na kujipatia 17m ndio ikamfanya ATEKWE?
Tutakuwepo akina siye ukileta cha kuleta tunakula nawe sahani moja
Unaamini kwamba Kapuku Tito katakatisha pesa , unajua kwanini Erythrocyte wa jf alishajua hayo mashitaka hata kabla ya Mambosasa kuyatunga ?Huyo Tito na wewe unaposhabikia unakuwa umeungana naye hiyo nayo inatakiwa uchapwe kiboko pia