Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Haya ndiyo mashtaka anayokumbana nayo ndg Tito Magoti na mwenzake
 

Attachments

  • IMG-20191224-WA0011.jpg
    43.9 KB · Views: 2
Redemption song, song of freedom.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wengi wapuuzi watailaumu serikali, sikieni kuna matukio ya kihalifu hufanyika na wanao jiita wanaharakati yanayohatarisha usalama wa nchi sasa wakishughulikiwa viherehere wanajifanya wanajua sana haki. Wakati mwingine jifunzeni kunyamaza, uongozi si kitu rahisi na hakuna kiongozi wa kuonea watu hovyo, polisi fanyeni kazi yenu wapuuzi wote wasakwe.
 
Kwani mkuu wao hawajipendi?
 
Makosa yote hayana dhamana, labda akubali na kukiri makosa kwa DPP na kusubiria msahama.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu wahuni hukamatwa kihuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…