Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani mie huyo mwingine,,,,..
Mungu awasimamie hawa vijana, hawa wanaojiona miungu mtu watakufa vifo vibaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi maana ni kukutandika kiboko. Mwenye nguvu mpishe tuliambiwaKwahiyo ukitukana ni sahihi kunabambikiwa money laundering
Hii shida ya tanzania imeletwa na Kagame tuWatu wasiojulikana wameona wamwache, sawa ipo siku uovu wao utalipwa
Umenikumbusha nyimbo moja ya Dube- Victim, alimnukuu Bob kuna hicho kipande cha "How long shall they kill our prophecy, while stand a side and see"
Anyway hizi mada zimenizidi nguvu siku hizi, naishia tu kuwa mpenzi msomaji.
Isije kuwa
#BringbackNjopino
Makala za kishenzi ni anaandika page 100 ila haya mambo ya kutisha yanayoendelea hapa nchini ni anaandika maneno matatu tu ya "duh"!!hataki kutia neno! alikuwa msemaji mzuri, leo anasema duh! Pascal Mayalla
Stop this nonsense, lazima kupaza sauti! Muda utakuja lini?Nakubaliana na wewe, sasa hivi bora uhangaike na familia yako uhakikishe wamepata maisha bora kwenye kila nyanja
Tunajua yanaumiza ila muda utaongea
Kama watazikwa na hii nchi kwenye majeneza yao, basi tusubiri tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu wao hawajipendi?Kwahiyo Moderators
@Mod Three
@Active
@Innovator
@Moderator
@Mod One
MMEKAA KABISA NA KUTAFAKARI NA KUKUBALIANA HII NI HABARI YA KULETW AHUKU " HABARI MCHANGANYIKO"
labda niwaulize tu?
Mnaficha nini?
hamtaki watu waone hayo mashtaka?
hivi hii haikuw ahabari ingepaswa kuw apinned kabisa juu kule?
Ushahuri:
Jichunguzeni na hasa huyu aliyeileta huku hii hakika nawaambieni sio mwenzetu JF.
JF Imetekwa hakika.
Ni kweli wanapaisha kwa kufanyakazi siyo kukaa mitandaoni na kutukana viongozi wa nchi eti demokrasi!Hahahahahaha acha kutishia nyau,
Huna aibu unajisifu kufanya uhalifu kwa watu wasio na hatia, na wakati nchi zingine wanapaisha uchumi wa nchi na uchumi wa mwananchi mmoja mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sina tatizo na makosa wanayoshitakiwa nayo, tatizo langu ni jinsi polisi walivyohusika na ukamataji wa Tito, hilo lanishangaza sana.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa ili kujisafisha na mbinu ambazo polisi hutumia, huwa wanawatuhumu wahamga kewa makosa hayohayo- kutakatisha fedha na uhujumu wa uchumi ili kufunga dhamana. Tuliona hivyo kwa Kabendera, staili ile ya ukamataji na kosa aliloshitakiwa nalo vinafanana kabisa na staili waliyotumia kwa Tito.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnafanya kazi? Kazi ipi mnayofanya?Ni kweli wanapaisha kwa kufanyakazi siyo kukaa mitandaoni na kutukana viongozi wa nchi eti demokrasi!
Ndugu yangu wahuni hukamatwa kihuniBinafsi sina tatizo na makosa wanayoshitakiwa nayo, tatizo langu ni jinsi polisi walivyohusika na ukamataji wa Tito, hilo lanishangaza sana.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa ili kujisafisha na mbinu ambazo polisi hutumia, huwa wanawatuhumu wahamga kewa makosa hayohayo- kutakatisha fedha na uhujumu wa uchumi ili kufunga dhamana. Tuliona hivyo kwa Kabendera, staili ile ya ukamataji na kosa aliloshitakiwa nalo vinafanana kabisa na staili waliyotumia kwa Tito.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Nabii mwenye mijikanzu ya CCM na bangi mkononi na bia na ametoboa masikioTito ni yupi katika picha hapo juu?
Hakuna haja ya kuwauwa bali kuwafunga tuNyie mnafanya kazi? Kazi ipi mnayofanya?
Sasa mkiwaua au kuwapa sumu ndio uchumi utapaa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi Wa KatiTanzania Ya Wanyonge.