lkn washaumiaYatapita...
Yatapita haya...
Now they beat us by Ml cases...
Yatapita amini
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!...
P
Ila wengine si mmewaua ?! Na wengine mmewapa sumuHakuna haja ya kuwauwa bali kuwafunga tu
HAhah. Magufuli noma.
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Akijibu nitag mkuu.
nakazia piaSoftware Engineers tujuzeni zaidi kuhusu computer programme designed to commit an offence.
Kabisa,πππππ
akina nani ao mkuu sijaelewa iyo softwareSijaelewa hapo kwenye kumiliki program. Ni kwamba hio program ndio imewatengenezea hizo 17m au vp??? Pia jana kuna software developers nasikia walikamatwa sijui ndio waliotengeneza hio program.
Maswali ni mengi sana ofcoz!
mbona umepanic sana????Nchi haiongozwi kwa mihemuko inaongozwa kwa sheria. Kidomodomo kimemponza, kwani unafikiri wote wasiondika ni wajinga? Hakuna chuki hapo angekuwa mama yako katukanwa vile wakati wewe unafahamu fika huyu kijana anapata pesa kwa njia za udanganyifu ungemwachia? Msiingize mambo ya kimataifa kwani huko kwao na wenyewe si wana sheria zao?
ππππHiyo computer program walioidizaini naihitaji, kama kuna mtu ana connection na Tito mwambieni aniachie mimi hiyo program niifanyie kazi ya ukweli, maana wao walizembea, yaani mwaka mzima milion 17 tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wengine tumechagua kuukataa utawala huu moja kwa moja hata pale wanapopuliza baada ya kutung'ata.Duh!...
P
Kumbe kuna wengine mmewaua mkuu?? Nilikuwa sijuiIla wengine si mmewaua ?! Na wengine mmewapa sumu
Na kuwafunga wengine wasio.na hatia, kuwatia vilema wengine, na tangu mfanye yote hayo, uchumi umepaa kwa asilimia ngapi kwa kila mwananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unavyolipa wewe sasa hivi? Na utaendelea kulipa mpaka kifo chako usaliti hata Mungu hautaki.Ipo siku wahusika watalipa dhambi ya hii ya kuonea watu.