Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Uchaguzi unakaribia next year kamata kamata itazidi na wameanza kwa viongozi wa Haki za Binadamu lakini lengo ni viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa demokrasia nchini.

Watakamatwa watu kama kuku na kubambikiziwa kesi

Tuombe uhai , Tutasikia na kuona mengi katika jitihada na harakati za CCM kujibakisha madarakani kwa nguvu
 

Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
HAhah. Magufuli noma.

Yani huyu ndio anamtuma musiba
 
Sijaelewa hapo kwenye kumiliki program. Ni kwamba hio program ndio imewatengenezea hizo 17m au vp??? Pia jana kuna software developers nasikia walikamatwa sijui ndio waliotengeneza hio program.

Maswali ni mengi sana ofcoz!
akina nani ao mkuu sijaelewa iyo software
 
Nchi haiongozwi kwa mihemuko inaongozwa kwa sheria. Kidomodomo kimemponza, kwani unafikiri wote wasiondika ni wajinga? Hakuna chuki hapo angekuwa mama yako katukanwa vile wakati wewe unafahamu fika huyu kijana anapata pesa kwa njia za udanganyifu ungemwachia? Msiingize mambo ya kimataifa kwani huko kwao na wenyewe si wana sheria zao?
mbona umepanic sana????

Abdul Nondo jana kawashinda mahakamni kwa mara ya pili.
 
Hivi kumbe mimi nilichelewa kutakatisha fedha? kuudaddeki naanza rasmi na mimi leo nikikamatwa sina cha kupoteza! kwanza kijijini kwetu ni ujiko! ukitakatisha fedha?

kwa hatua hii tu wewe mjanja sana, ukoo utaheshimika walahi! ukitoka lupango una pewa pole na unachangiwa upya! watasema nenda tena katakatishe, na binti yangu.

utasikia vijana uliosoma nao wanatukanwa hovyo na wazazi wao, kuweni km mtoto wa Tata! anajitahidi! mpaka serikali inalia lia! ..... lkn huko wanaume wa Dar! maweeee ! Twafwa!
 
Back
Top Bottom